kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,673
- 20,352
Hata hio 40m summer hatutampata, usisahAu kuwa timu za epl Zina nguvu kiuchumi hawana njaa ,,, kunegotiate nao kazi Sana !Palihna tulizingua wenyewe msimu uliopita miezi kama hii Sporting Lisbon walikuwa wanataka euro 20M tu. Ralph ali-recommend yeye na Enzo akiwa River Plate naye bei yake ilikuwa euro 18M.
United huwa tunaingia sokoni muda ambao ni rahisi kupigwa pesa ndefu. Unafikiri Fulham watatuacha salama hapo? Hawawezi kumuuza chini ya pound 40M. Usisahau pesa kwa sasa hatuna priority ni mshambuliaji wa kati majira ya kiangazi.
Alafu nafasi hio sio target kwetu, tunahitaji cF,, tutAenda kupigwa kitu kizito kwa victor wa Napoli au vlahovic
Summer rice atauzwa over 100m , same applies to caicedo,!






#TenHagBall