Marcel is vibe. Atatuongezea thamani sana.Point tatu za damu na machoz !!!!!
Dah, baada ya red card game plan ilivurugika
[emoji36]Tulipigwa msako haswa,,, kidogo baada ya Marcel kuingia walau kukawa na ahuen !
Martinez nadhan Ajax wanatudai chenchi,,,,, hizi ndo damu za south America, kazi tu hakuna kuremba
Atakuwepo pamoja na mechi ya fainali vs Newcastle United.If I'm not mistaken Europa haiingiliani na EPL mkuu ! Nadhan mechi za Barca case atakuwepo !
Wa-South America hawana kazi za kuremba hata Portuguese wanapiga sana kazi mf. Bruno na Dalot. Ila kazi chafu zote ni wazee wa South America na ule ubabe wao ndiyo unajenga mentality ya ushindi kwenye kikosi ndiyo maana ile red card ya Casemiro nimeikubali wale jamaa walistahili kupigwa mtiti na points 3 wameziacha.Point tatu za damu na machoz !!!!!
Dah, baada ya red card game plan ilivurugika
[emoji36]Tulipigwa msako haswa,,, kidogo baada ya Marcel kuingia walau kukawa na ahuen !
Martinez nadhan Ajax wanatudai chenchi,,,,, hizi ndo damu za south America, kazi tu hakuna kuremba
Watu wanademand offensive impact yake Kwan alinunuliwa Kwa ajili ya shughuli ya kuzuia?Mkuu hivi unaona Antony anavyoludi kuzui au wewe unaangalia magoli tu?
Hapo match fitness anaipata kwenye game za Barca, fainali anatupa kombe. 😄Casemiro willl miss United’s next three domestic games:
Leeds (H)
Leeds (A)
Leicester (H)
Back for the Carabao Cup final.
Tumeshindwa kuuona ubora wake , hakua na pea (Casemiro), then tulikuwa 10men,,,, !!!! Akiseto vzr atatusaidia SanaMarcel is vibe. Atatuongezea thamani sana.
kocha wake anamjua kuliko sisi ,,,,kafanya nae kazi ajax ! Ana impact kubwa Sana kwenye mechi,,,,, ule upande anaocheza anasaidia Sana ! Usikariri magoli na assist ! Collectively Yuko vizuri sanaWatu wanademand offensive impact yake Kwan alinunuliwa Kwa ajili ya shughuli ya kuzuia?
Yaani kuna watu wao kila kukicha ni Antony wanajaribu kumtafutia ubaya hata kwa tochi kwangu mimi Antony bado ni mchezaji bora sana namuona akitimiza yale majukumu anayopangiwa na kocha ya kutanua uwanja na kuacha space kwa attacking midfielders na maforward.Siwezi kumlaumu Antony yule jamaa wa Palace kamsukuma makusudi halafu anamuangalia kidharau.
Safi sana wachezaji wamemtetea dogo, hawa wachezaji wa Palace wahuni, muhimu tuwapige hivihivi tukiwa na red card.
mKuu unafanya kosa kubwa sana kutomtaja LISANDRO MARTINEZ [emoji38][emoji23]Wa-South America hawana kazi za kuremba hata Portuguese wanapiga sana kazi mf. Bruno na Dalot. Ila kazi chafu zote ni wazee wa South America na ule ubabe wao ndiyo unajenga mentality ya ushindi kwenye kikosi ndiyo maana ile red card ya Casemiro nimeikubali wale jamaa walistahili kupigwa mtiti na points 3 wameziacha.
Jamaa hua analeta balance sana kwenye timu ila show off zake za kijinga anatakiwa abadilike.Yaani kuna watu wao kila kikicha ni Antony wanajaribu kumtafutia ubaya hata kwa tochi kwangu mimi Antony bado ni mchezaji bora sana namuona akitimiza yale majukumu anayopangiwa na kocha ya kutanua uwanja na kuacha space kwa attacking midfielders na maforward.
Nitashangaa sana akiongezewa mkatabaMsimu huu antony martial amekosa mechi 20
The Butcher ni mtu na nusu. Kikosi anachokifuma EtH ni bomu mpinzani akijaribu kulikumbatia analipuka nalo.mKuu unafanya kosa kubwa sana kutomtaja LISANDRO MARTINEZ [emoji38][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] hua ina sifa sana zikifika zile dakika za lala salama.Hii mi palace siipendi kinoma..