Tena wachawi 62
Asharudi kwao Newcastle huyu.Dubravka napenda kumwona golini kocha sijui kwann hampi nafasi
Hawa wachezaji sahv kwa kuhamahama hawajamboAsharudi kwao Newcastle huyu.
Ni mchezaji wakawaida Sana ila mnajuaga kuwapamba wachezaji wenu Hata wenye mentality za u averageGarnacho akianza kwenye 1st eleven hua anazingua sana, ni bora awe anaingia tu kuanzia dakika ya 75+
Chukia tuKwaiyo unaumia ukiwa wapi mwenzetu huyo dogo akipambwa? Au ulitaka upambwe wewe
Mwaka wa sita mbona mdogo, liverpool kakaa miaka 20Chukia tu
Bado hamuna timu ya kuifunga Newcastle fainali
Mwaka wa 6 bila kikombe Loading........
OhooMwaka wa sita mbona mdogo, liverpool kakaa miaka 20