Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,731
Hao unaowataja sio project we jamaa ni vile tunasogeza siku msimu ujao tunasajiri vizuri kabisa hao ni wa muda mfupi tu.Project unajenga na wazee miaka 30 unasema miaka 2 tutaomba poo[emoji1787][emoji1787] tumieni akili Basi mtajikuta mnaanza kulia Tena hatuna mkabaji hatuna Beki hatuna CM hapo Casemiro varane Eriksen wanakimbizwa hoi ,tumeona Eriksen jumapili ulimi nje[emoji1787]
Sasa kama sio project ,msidanganye watu mna project yenye miezi 6, sema mwakan ndo mnaanza projectHao unaowataja sio project we jamaa ni vile tunasogeza siku msimu ujao tunasajiri vizuri kabisa hao ni wa muda mfupi tu.
Mtasajili vizuri [emoji1787][emoji1787] kocha huyu analeta kujuana kwa kuleta waholanzi [emoji1787]Hao unaowataja sio project we jamaa ni vile tunasogeza siku msimu ujao tunasajiri vizuri kabisa hao ni wa muda mfupi tu.
Tutarudi tukifikisha misimu miwili kwa sasa sina ninalomdai ndugu 10han kabisa tuko sawaa.Mtasajili vizuri [emoji1787][emoji1787] kocha huyu analeta kujuana kwa kuleta waholanzi [emoji1787]
Kama mmeshindwa kusajili vzr Hadi mnaleta ball dancer kwa £100m yule malacia average ,Eriksen akikimbizwa kidogo anatapika[emoji1787]
Mtoe Rashford au aumie ,manyua inaenda alipo Chelsea na Liverpool
Huyu bado hajafikia alichofanya ole gunaTutarudi tukifikisha misimu miwili kwa sasa sina ninalomdai ndugu 10han kabisa tuko sawaa.
Una haki ya kutoa maoni japokuwa maoni yako ni mi[emoji90][emoji90]Huyu bado hajafikia alichofanya ole guna
Ole guna ile ndo project ila mkamvurugia mkamletea Ronaldo mwisho mkaharibu project yake
Project akiwa na Pogba asingeweza na yeye ndio alimlelea kipuuziHuyu bado hajafikia alichofanya ole guna
Ole guna ile ndo project ila mkamvurugia mkamletea Ronaldo mwisho mkaharibu project yake
Mmehamia April tena [emoji23]Soma hizo stats angalia na matokeo halafu utasema nani mropokaji.
1.67xG tulifunga magoli mangapi? Tena hapohapo Emirates tukiwa hatuna DM wetu. Tulikuwa tushawaweka sehemu mbaya hata kwa droo tu, City alikuwa anawapumulia na nyie nina 100% mtatoka 1st position kama siyo siku za karibuni, April lazima muachie.
Hata mlivyomsajili Ighalo mlisema hatujui kitu kushinda Ole aliyemsajili.Hii taarifa inaisaidiaje Arsenal kushinda mechi inayofuata?
Wewe hujui kitu kushinda EtH aliyemsajili. Antony bado hajafikia full potential, halafu United tunaunda kikosi (bora barani Ulaya) tunataka timu yetu iwe na qualities sawa kwa kikosi cha kwanza mpaka bench. Nyie endeleeni na wachezaji wenu wa mafungu.
Hata Arsenal kuna wachezaji last season walionekana wa kawaida sana ila msimu huu wanakiwasha. Kinachowasumbua ni value tu ya Antony ambayo haina uhusiano na uwezo wake. Ajax walitaka ile pesa kutokana na vitu vingi na sisi tukakubali, shida iko wapi tuki-spend €100m au kisa timu yenu haiwezi?
Ole alifanya nini ambacho 10hag hajafanya?Huyu bado hajafikia alichofanya ole guna
Ole guna ile ndo project ila mkamvurugia mkamletea Ronaldo mwisho mkaharibu project yake
Mzee au mechi ulisikiliza kwenye redio...kama arsenal wangekuwa makini ilipaswa game iishe 3-0 maana arsenal walitawala Sana hyo game ikiwemo kuwafanyia msako golini kwenu mara kibao magoli mlioyafunga NI errors ..moja turnover ya partey..nyingine makosa ya kiulinzi kwenye Kona....huwezi ukaja ukajisifu Kwa Ile performance hamkuwa wabovuHivi timu mbovu ni ipi, ambayo imefika mara chache kwenye box la mpinzani na kufunga magoli mawili au iliyofika mara nyingi na kufunga magoli matatu, moja likiwa la offside? [emoji23]
Kuna mashabiki wa mpira inatakiwa washabikie ndondo tuu,, hebu tuelezee goli moja unalolifahamu ambalo halijatokana na makosa ya aliyefungwa!?!?Mzee au mechi ulisikiliza kwenye redio...kama arsenal wangekuwa makini ilipaswa game iishe 3-0 maana arsenal walitawala Sana hyo game ikiwemo kuwafanyia msako golini kwenu mara kibao magoli mlioyafunga NI errors ..moja turnover ya partey..nyingine makosa ya kiulinzi kwenye Kona....huwezi ukaja ukajisifu Kwa Ile performance hamkuwa wabovu
Kuna moves za magoli au magoli mengine unaona kabisa the player could have done better to prevent the goal...Ila kuna mengine unafungwa we mwenyewe unakubali kabisa tulizidiwa....partey alipoteza kizembe ule mpira Rashid akaupata akafunga tokea mbali na alikuwa angeweza kufanya option nzuri zaidi...goli la pili kipa angefanya vzuri pia hcho Ndo nikichotaka kumaanisha au wewe ulifurahia Ile performance Kwa mpira WA kuvizia huku mbele mnamuweka Yule ngongoti wenu [emoji23].....basi bwana mkuu case closed mlikuwa na performance nzuri [emoji1787]Kuna mashabiki wa mpira inatakiwa washabikie ndondo tuu,, hebu tuelezee goli moja unalolifahamu ambalo halijatokana na makosa ya aliyefungwa!?!?
Ndio maana unaambiwa mpira Ni mchezo wa makosa, ukikosea mwenzako anakufunga !Kuna moves za magoli au magoli mengine unaona kabisa the player could have done better to prevent the goal...Ila kuna mengine unafungwa we mwenyewe unakubali kabisa tulizidiwa....partey alipoteza kizembe ule mpira Rashid akaupata akafunga tokea mbali na alikuwa angeweza kufanya option nzuri zaidi...goli la pili kipa angefanya vzuri pia hcho Ndo nikichotaka kumaanisha au wewe ulifurahia Ile performance Kwa mpira WA kuvizia huku mbele mnamuweka Yule ngongoti wenu [emoji23].....basi bwana mkuu case closed mlikuwa na performance nzuri [emoji1787]
Anthony tumepigwa
Anthony remind me Nicolaus PepeSancho is back anakuja kivingine kijana alikuwa anapikwa huko zamu ya Antony sasa nae utoto umemzidi lazima akapikwe upya.View attachment 2497665
Bro unawashwa sn...huyu Anthony muache kila muda unamtajaAnthony remind me Nicolaus Pepe
Acha makasirikioBro unawashwa sn...huyu Anthony muache kila muda unamtaja