raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,798
- 36,686
MagalasaGapko
Antony
Nunez
Sancho
Grealish
Auba
Sijui nataka kuandika nini!
MagalasaGapko
Antony
Nunez
Sancho
Grealish
Auba
Sijui nataka kuandika nini!
Never say never
Itakuwa anahisi bado manager wa united ni babu yake Ole.
Vipo vitu vingine vya kusema never.Never say never
Kabisa.Itakuwa anahisi bado manager wa united ni babu yake Ole.
Kweli kabisa Jombaa. Dusan Vlahovic (23 yrs old) mwezi wa 6 yupo sokoni siwaoni Juve wakitoboa kufuzu UEFA champions league msimu ujao. (Juve wamekatwa alama 15 serie A)Binafsi siungi mkono suala la kumsajili Kane umri umeshaenda sana 30 years tutafute mtu ambae bado umri mdogo 22 hadi 25 walau
Frank sio kocha mzuri ila alikuwa overhyped sana na hana potential yoyote ile ya kuja kuwa kocha mzuri.View attachment 2490486
Miaka miwili iliopita niliandika comment hii.
Tulikuwa tunajadili safari ya makocha hawa watatu waliopewa majukumu makubwa ya kuziongoza timu tatu zenye mafanikio ndani na nje ya uwanja.
Don Clericuzio amepotea huku nikiwa na deni la ahadi kwake
- Frank lampard - akiwa chelsea
- Ole gunnar solskjaer - akiwa man utd
- Mikel arteta - akianza maisha ya ukocha hapo ARSENAL
Atakuwa kabadilisha IDHuyu jamaa hata jukwaa la liverpool simuoni kabisa wala uzi wowote humu JF.
Sijui ana maswahibu gani uko aliko!
Kitasa cha boli..
Mkiweka hii lineup sion mkitoboaMatchday..
GGMU.
Imagine being beaten up by Arsenal!!!...ni maumivu matupu.
Vijana wapambane.
======
My Starting XI
======
De Gea
AWB Varane Shaw Malacia
Fred Martinez Eriksen
Fernandes Rashford Garnacho
==============
Ni DM anaiweza hiyo nafasi ,lakini hatujaona msimu huu akitumika hiyo nafasi,
So sio mechi ya majaribio
Kane hana speed? kane hajui kuhold mpira? be better than this bro [emoji16][emoji75]Ila kane sidhani kama anatufaa hebu tutafute watu wa maana wenye speed na wanaoweza kuhold mpira huko mbele kane kwangu hapana.