OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,305
Sema nyie manjestaa kesho munapakatwa tu kisahiri maana mara nyingi mukicheza na wale arse8 first leg munashinda ila second leg huwa munapakatwa kiaina kwaiyo kesho lazima mubamizwe 🤣🤣🤣🤣
Ndoto za mchana! yani timu iwe na GD 8 iingie top 4!
It Will never happen again.[emoji599][emoji599] #Breaking - Man United & Paul Pogba are still in contact and #MUFC are not ruling out another return of the Frenchman on a free transfer after financial crises at Juventus which lead to a 15 point deduction. Pogba wants to leave Serie A. [emoji632][emoji837]
Makubwa[emoji3061][emoji3061][emoji3061]View attachment 2490597
Tunaendelea kuwazoom tuwaone mtachofanya
Hawezikupata nafasi tena,,Tunaendelea kuwazoom tuwaone mtachofanya
Kwanini? Kwani pogba mlimuuza au alienda bureJuventus tapokwa point,
AtajijuKwanini? Kwani pogba mlimuuza au alienda bure
Kesho kitakachobadilika ni GD tuu kutoka 8 had 6Crystal Palace walitunyima point 2 ila tunawashukuru pia kwa kuwabania New Castle leo
Kazi kwetu kesho GGMU[emoji123][emoji123]
Naona leo kulikuwa na pepo la draw!!!
Unaikumbuka odd ya man city? Huku mtaani kwetu kuna jamaa ilimpa mil 7.Man u ana odd 4
Haya zifateni kama mnaiamini timu yenu
Vyovyote mkuuKesho kitakachobadilika ni GD tuu kutoka 8 had 6
Huyu jamaa hata jukwaa la liverpool simuoni kabisa wala uzi wowote humu JF.View attachment 2490486
Miaka miwili iliopita niliandika comment hii.
Tulikuwa tunajadili safari ya makocha hawa watatu waliopewa majukumu makubwa ya kuziongoza timu tatu zenye mafanikio ndani na nje ya uwanja.
Don Clericuzio amepotea huku nikiwa na deni la ahadi kwake
- Frank lampard - akiwa chelsea
- Ole gunnar solskjaer - akiwa man utd
- Mikel arteta - akianza maisha ya ukocha hapo ARSENAL
Huwa wana msemo wao kuwa ni premier league proven,na mara nyingi hii kauli ndio hupandisha thamani ya wachezaji wa kiingereza kwenye soko la usajili.Binafsi siungi mkono suala la kumsajili Kane umri umeshaenda sana 30 years tutafute mtu ambae bado umri mdogo 22 hadi 25 walau