Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Point hapo ni jicho la kishabik, na hamna uwezo wa kuifunga united goli 3, tangu tulipofungwa na Man city hakuna aliyeweza shinda goli 3 kwa Man u, Game itakuwa ngumu sana na mkileta utoto tutawapiga kimoja kazi iishe, na sisi tukizingua tunaweza pigwa goli 1 tu la kuamua mechi, la sivyo hii no droo ya wazi kabisa
Aisee hakuna namna lazima mkae mlizochukua kwenu zinatosha.
A
 
Point hapo ni jicho la kishabik, na hamna uwezo wa kuifunga united goli 3, tangu tulipofungwa na Man city hakuna aliyeweza shinda goli 3 kwa Man u, Game itakuwa ngumu sana na mkileta utoto tutawapiga kimoja kazi iishe, na sisi tukizingua tunaweza pigwa goli 1 tu la kuamua mechi, la sivyo hii no droo ya wazi kabisa
Aston villa aliwafunga 3-1 Mzee mnasahau haraka hvyo
 
Eeh eti unasema nini?
d1255055620f0e6a.jpg
 
Erik ten Hag is keen to bring Harry Kane to Manchester United in the summer. [Daily Mail]

#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
Waingereza wameanza kumuingilia EtH kimtindo na wachezaji wao wa mchongo.
Ilitakiwa wamuache mwalimu achague mshambuliaji mwenye umri mdogo ili awe sehemu ya mpango wa muda mrefu sio kibabu Kane kisa mtoto wa malkia.

Pale United inatakiwa tusafishe waingereza akiwemo Rashford mchezaji mwenye kiwango kisichotabirika.
 
Points nzuri sana.
 
Tayari ameonyesha hilo ktk sajili zake alizofanya hkn muingereza hata mmoja
 
Back
Top Bottom