ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,636
Kane is for small clubs tu.Ila kane sidhani kama anatufaa hebu tutafute watu wa maana wenye speed na wanaoweza kuhold mpira huko mbele kane kwangu hapana.
Kane is for small clubs tu.Ila kane sidhani kama anatufaa hebu tutafute watu wa maana wenye speed na wanaoweza kuhold mpira huko mbele kane kwangu hapana.
Huyu boyhood arsenal fan akisema anataka kuja kwetu matusi yote tuliyomtukana tumasahau na tunamkaribisha vizuri sana. Nyie mnampotezea?Ila kane sidhani kama anatufaa hebu tutafute watu wa maana wenye speed na wanaoweza kuhold mpira huko mbele kane kwangu hapana.
Ila kwenye thread hii ya man u upo daily kuliko kule kwa arsenal. Kazi kweli kweli [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] najaribu kufananisha na mwanamke ambae humpendi ila kila siku upo nyumbani kwake unamuongeleaFootball should be an Art
Man u mpira wa magimbi siwez kushabikia hata unishike bastola
Binafsi simshabikii hata.Huyu boyhood arsenal fan akisema anataka kuja kwetu matusi yote tuliyomtukana tumasahau na tunamkaribisha vizuri sana. Nyie mnampotezea?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo nafasi ya 4 wataipigania na arsenal, huu ndio msimamo wa ligi mpaka kufikia may👇Manure jikazeni Bryton anaitaka nafasi ya 4 hiyo
.[emoji187] Focused on Sunday's task.
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2490007
Arsenal lazma achezee vitasa vya uhakika.Man u kesho u have our support from etihad plz msituangushe wachakazen hao asenali plz[emoji3061]
Mpaka kufika mwez wa 5, ndio utajua hujui.Ndoto za mchana! yani timu iwe na GD 8 iingie top 4!
GD namba za viatu ukimaliza top 4 bahati ipo upande wenu,Bryton tu wana GD double digitMpaka kufika mwez wa 5, ndio utajua hujui.
Our very own cheap labour. Weken hyo ngazi tupande af tukifika juu tunawakanyaga.Arsenal lazma achezee vitasa vya uhakika.
Afu tusiwangushe kivip! Kila mtu ashinde mechi zake, nasio kutegemea Manchester united iwasaidie nyie Manchester fisi.
Kupunguza gepu la point, vinginevyo msubirie mkikutana nae ndio mfanye kutojiangusha wenyewe.
Endelea kuotaOur very own cheap labour. Weken hyo ngazi tupande af tukifika juu tunawakanyaga.
Time will tell.GD namba za viatu ukimaliza top 4 bahati ipo upande wenu,Bryton tu wana GD double digit