Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mashabiki wa city wanavyochanganyikiwa.


"..Haaland is a one trick pony a busted flush hes been found out title between man u and arsenal money won't buy you the league this the ten hag is as genius"

Anaonhea shabiki mmoja
 
Mechi ya jana ni kama man u walikuwa wanatafuta draw sabb ya mechi ya j2
Hizi approach mda mwingine sizielewagi
Maana unaweza suluhu na cry na j2 ukapigwa vile vile ukawa umeambulia pt 1 kwenye mechi 2
Si afadhali ukomae na cry upate pt 3
Japo asernal ni mchumba so atazioata kirahisi. Tushukuru morale ya wachezaji.

Jana nilitegemea baada ya yellow ya casemiro wangeongeza BAO. Psychologia ya kocha kumuacha casemiro na kumuongiza Fred baadae naomba miongozo
 
Hawa wenzetu wameona nini kwa huyu dogo
 
Antony bana mi simuelewi kabisa ni bora sancho jamaa mwepesi sana winger hatoi cross hapigi chenga aaah.
Ila bado tuko ON tumeshinda sana tukaanza kuchoka ushindi ni mingi wacha tupumzike kidogo jpili moto unaendelea
 
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 We jamaa unaota ndoto nyevu
 
Wewe ndio shabiki mzuri unayesimamia Ukweli, tatizo mafans wengi wa Man U huwa hawaangalii mechi za Arsenal afu Bado wanapiga kelele eti ooh tutawafunga,shenzi kabisa
Jumamosi tusitegemee ushindi, arsenal ni ya moto sn wakuu, kama umetizama gemu zao utakua ni shahidi.. tuache ushabiki kwa wachezaji hawa kina rashford,antony,martial n.k hatupati kitu msimu huu
 
Antony bana mi simuelewi kabisa ni bora sancho jamaa mwepesi sana winger hatoi cross hapigi chenga aaah.
Ila bado tuko ON tumeshinda sana tukaanza kuchoka ushindi ni mingi wacha tupumzike kidogo jpili moto unaendelea
Bora sancho aisee
Antony anaua kaunta pass hazina macho bure kabisa
 
Arsenal tunajua tutamfunga United kwa kigezo kimoja, tutacontrol mchezo kwa zaidi ya 65%. Huwezi kushinda Emirates km huwezi kucontrol mchezo, na united hawezi kucontrol mchezo dhidi ya Arsenal, mechi tuliyocheza OT ilionesha wazi level yenu, mlishinda thru gamestate muda wote tulikuwa tunaichase game kusawazisha goli lakini at the end of the day tukawa exposed.

Huwezi kupack bus Emirates, utakuwa kwenye mazingira ambayo si salama, the atmosphere is behind, technically tuna wachezaji wazuri na structure ya kuunlock these low block teams, bahati mbaya hamuwezi kupossess mpira kwa kukosa technically gifted players kwenye key areas, hivyo mkiwa na mpira tutawapress aggressively tutachukua mpira, kwa jicho langu la kishabiki naona tutashinda 2-0/ 3-1 /3-0, ila sioni united wakishinda Emirates.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…