Chelsea on panic mode. Hiyo fee ni kubwa sana plus £280k /week.Joao Felix to chelsea loan fee €11M
Halafu baada ya siku 3 tunaenda kucheza na Arsenyoko pale Emirates.OFFICIAL: #MUFC’s postponed premier league match against Crystal Palace will now take place on 18th January 20:00 GMT
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2475345
Humu ni wastaarabu watupu ila ukitaka jukwaa la wahuni nenda kwa hawa jamaa waliokosa malezi ya pande2.Ili jukwaa limejaa wahuni tupu
Sijasema kuwa Arsenal ana uhakika wa ubingwa nimesema ana nafasi kubwa ya ubingwa kuliko timu zingine zote.Arsenal ana uhakika wa top 4 sio ubingwa.
Aboubakar team nyingi zinaogopa umri tu wakati jamaa bado mbichi ata Ericksen upara umeanza kabsa kwa Uzee.Depay na Aboubakar, definitely namchagua Aboubakar bila wasiwasi wowote, depay hana kitu kipya cha kuprove tena
Ndo kwanza ana 31/32Aboubakar speed hana kwasasa, umri umeshasogea
This is false statement ninavyodhani...Aubameyang; " when I arrived at Chelsea, I thought I would achieve everything I was eager to help my new team win another champions league trophy , in my mind I thought Chelsea was the perfect team for me but when I arrived I found everything is different, I even asked my agent if he can cancel my contract and find another team , the first day of training I arrived early only to find jorginho, kovacic, mount, pulisic and ziyech watching Bruno Fernández videos
Rabish, nenda kaandike kwa staili nyingine labda utawadaka wengi zaidiAubameyang; " when I arrived at Chelsea, I thought I would achieve everything I was eager to help my new team win another champions league trophy , in my mind I thought Chelsea was the perfect team for me but when I arrived I found everything is different, I even asked my agent if he can cancel my contract and find another team , the first day of training I arrived early only to find jorginho, kovacic, mount, pulisic and ziyech watching Bruno Fernández videos

