Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,750
- 5,627
Sijui tatizo nini aiseeFernandes amekosa sana utulivu nowdays..
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Sijui tatizo nini aiseeFernandes amekosa sana utulivu nowdays..
Mpaka sasa upande wa kushoto umetimia kwa 100%. Beki - Shaw/Malacia, winga - Rashford/Garnacho. Tumalizane nao tu mikataba ya muda mrefu.Ila wakuu Shaw pia mkali..
Ana pasi zake ndefu zilizoenda shule kinoma..mfano ni lile goli ya tatu jana.
Kama mpaka June mnunuzi mpya hajaeleweka, tunaweza ingia sokoni na mapato ya club. Hela za mwekezaji mpya zikachelewa kuja.Bodi waache ujinga huyu mshua apewe mshambuliaji. Kumtegemea Anthony Martial tutafanya kosa la kiufundi.
Yale mahesabu ya Chief Mkwawa naanza kuyaelewa.Msimu uliopita tulimaliza na clean sheets 8 ktk mechi 38 mpaka sasa ndani ya michezo 17 tumezipata 8. Tumezidiwa na Newcastle pekee mwenye clean sheets 10 ndani ya michezo 18.
Tumeshinda mechi 11 kati ya 17 tumezidiwa na Arsenal pekee aliyeshinda michezo 14 ktk mechi 17 pia. Bodi wasifanye masikhara kama wanaweza hata wakope ila mshua apewe mshambuliaji mmoja. Tuna nafasi ya kufanya jambo msimu huu.
Acha kuniuliza maswali ya kitoto.Kivp? Huwa unaangalia mpira au unafuatilia mpira?
Naunga mkono hpjaNdo maana nasema ni bora tubaki na hao kina Martial.
Kuliko kununua striker bora striker.
Yale mahesabu ya Chief Mkwawa naanza kuyaelewa.
Na bado mechi 21.
Arsenal hawajawahi kuwa serious.View attachment 2469206
Hapo ni Casemiro + FDJ, Mbele yao anacheza Bruno.Bado kumekuwa na tetesi za ujio wa FdJ majira ya joto yajayo pale United. Na ni matumaini yangu hii nafasi ikitokea basi EtH hawezi kuiacha impite kwa jinsi alivyo na mahaba na huyu kijana.
Shughuli ya Casemiro haina mjadala hapa,Bruno (mzee wa tennis kwa mujibu wa I AM SALIM ) ingawa tunamponda sana siku hizi (kasoro Chief-Mkwawa ) ubora wake huwa unaonwa na walimu wake tangu enzi za Ole,EtH na hata kocha wa timu ya taifa ya ureno.
Eriksen pamoja na uzee wake yule mtu ana brain ya mpira
Swali langu ni namna gani atakipanga kiungo chake wakati FdJ akicheza kama Deep Laying Playmaker pamoja na uwepo wa Case,Bruno na Eriksen kwenye eneo la kati?
Ambao wanalipa viingilio kwenda uwanjani wanamkubali... Halafu mechi hyo hyo ambayo mashabiki wamemkubali wewe uliopo kwenye kibanda umiza AGAFILO una diss....Acha kuniuliza maswali ya kitoto.
Unadhani ningeweza tu from nowhere kutoa comment hiyo kama siangalii mpira kwa details??
Watu wanamuangalia Bruno kama mtoa pasi za Mwisho tu ila jamaa ni Fighter sana, hata kama hachezi vizuri ila yupo maeneo yote anakaba, mara nyingi asipokuepo Eriksen anakuwa exposed.Bado kumekuwa na tetesi za ujio wa FdJ majira ya joto yajayo pale United. Na ni matumaini yangu hii nafasi ikitokea basi EtH hawezi kuiacha impite kwa jinsi alivyo na mahaba na huyu kijana.
Shughuli ya Casemiro haina mjadala hapa,Bruno (mzee wa tennis kwa mujibu wa I AM SALIM ) ingawa tunamponda sana siku hizi (kasoro Chief-Mkwawa ) ubora wake huwa unaonwa na walimu wake tangu enzi za Ole,EtH na hata kocha wa timu ya taifa ya ureno.
Eriksen pamoja na uzee wake yule mtu ana brain ya mpira
Swali langu ni namna gani atakipanga kiungo chake wakati FdJ akicheza kama Deep Laying Playmaker pamoja na uwepo wa Case,Bruno na Eriksen kwenye eneo la kati?
Sure,,, siku hizi mtu anakuambia mbona Bruno hafungi Sana ? Assist ??Watu wanamuangalia Bruno kama mtoa pasi za Mwisho tu ila jamaa ni Fighter sana, hata kama hachezi vizuri ila yupo maeneo yote anakaba, mara nyingi asipokuepo Eriksen anakuwa exposed.
Akija FDJ ina maana Eriksen atakuwa rotated nafasi ya Bruno na FDJ, mtu ambaye atapata tabu kwenye ujio wa FDJ ni Fred kwa inavyoonekana ETH anamtumia kama sub ya Eriksen.
Ila siku hizi kuna sub 5 watacheza wote, mashindano mengi,
Shaw chini ya Ole pia alicheza sana LCB ni nafasi anayoijua, hasa Big matches tulipokuwa tunacheza na watu watatu nyuma, ila hana ubavu wa kumpiga benchi Martinez, so ataendelea tu kubwa LB na Martinez LCB.Forward gani ya maana tutaipata hii January ? Inaonekana ngumu Sana, atletico wanabana Sana, wanataka tulipe mshahara wote , pia tutoe na loan fee kitu ambacho utd wamekipinga,,,,
tusisahau j,Felix Ni injury prone flani,,, akikupa mechi kumi consecutively Ni bahati Sana ,,,japo siku za hizi karibuni before WC and after WC kajitahidi kuwa fit!
Ndio nafasi ya muhimu tunaihitaji kwa Sasa, then June ndo utafanyika usajili wa maana kulingana na wachezaji watakaondoka/kuongezewa mikataba n.k! Pia hii itadepend Kama tutapata wamiliki wapya !
Chief-Mkwawa unamuonaje Shaw Kama LCB ?
Dalot over AWB? -consider their current form !
Haaland au Kane ndio wangekuwa wanashambulia kule mbele, hizi pasi za mjomba Lukasi zingekuwa na faida kwaoIla wakuu Shaw pia mkali..
Ana pasi zake ndefu zilizoenda shule kinoma..mfano ni lile goli ya tatu jana.
Tumewatapeli MadridCasemiro is the greatest thing since sliced bread.
Hata ile game ya City tusingepigwa vile zile 6 kama angeanza naamini.
Clean sheet zinaendelea tu kumiminika..huku pia mchango wake mbele kule pia ukiwa mkubwa.