Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,310
- 46,806
Jamaa pia lirefu..linaweza kutusaidia..Bora aje huyu, martial apate changamoto, anaruka ruka tu pale mbele, goli kibao anazikosa
Mwezi wa sita tuende na Harry Kane.
Jamaa pia lirefu..linaweza kutusaidia..Bora aje huyu, martial apate changamoto, anaruka ruka tu pale mbele, goli kibao anazikosa
Binafsi sioni miaka hii miwili kama martial atasalia pale OT, ila kuna chuma kinaitwa Phil Jones kwanza kiligoma kukuwa kiwango kwakuwa sijui uchawi upo mwaka wa 12 huu chuma bado kipo kinakula pensionBora aje huyu, martial apate changamoto, anaruka ruka tu pale mbele, goli kibao anazikosa
This is Pep wannabe who's older than pep himself[emoji1787]Sura ya kazi...sura ya kijeshi..ronaldo na selfish ego yake amegonga mwamba kwa mwamba huyu
Rashford alichelewa nini sijui ,mwamba akamuambia nakupiga adhabu, gafla akamuambia nimebatilisha adhabu yako utaenda kucheza mechi na nataka uonyeshe kiwango safi,
Mwamba anasema sajili zilizopita zilikua za kawaida tu , kuvaa jezi ya man utd inatakiwa uwe na hadhi ya kuivaa na uwe na moyo mgumu wa kuhimili presha na magumu yote, View attachment 2472809
Baada ya kumpata casemiro mnaona sasa mjaribu kila mchezaji wa wanaume ili muuziwe? ...eti benzema[emoji1787]Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii timu bwana yale yale ya ighalo mnataka benzema wanawapa ighalo kweli matajiri wamegoma kumwaga hela.View attachment 2472409
Kane hawez ondoka Spurs,,, sijajua mkataba unaisha lini,,,,naona Kama watamsapot Conte na more signings,,,, kane atakuwa sehemu ya project!Jamaa pia lirefu..linaweza kutusaidia..
Mwezi wa sita tuende na Harry Kane.
Alafu nashangaa, huwa wanamuongezea tu mkataba ? Uingereza unammbeba !Binafsi sioni miaka hii miwili kama martial atasalia pale OT, ila kuna chuma kinaitwa Phil Jones kwanza kiligoma kukuwa kiwango kwakuwa sijui uchawi upo mwaka wa 12 huu chuma bado kipo kinakula pension
Jones simuonagi hata bench 😃Binafsi sioni miaka hii miwili kama martial atasalia pale OT, ila kuna chuma kinaitwa Phil Jones kwanza kiligoma kukuwa kiwango kwakuwa sijui uchawi upo mwaka wa 12 huu chuma bado kipo kinakula pension
Mkataba wake upo ukingoni na sioni Kane akisign mwingine..So Spurs watalazimika kumuuza ili wapate chochote kitu.Kane hawez ondoka Spurs,,, sijajua mkataba unaisha lini,,,,naona Kama watamsapot Conte na more signings,,,, kane atakuwa sehemu ya project!
Bad luck to him, umri unasonga, top talent hajashinda major trophy yoyote,,,, jua linazidi kuzama !
Respectfully, Sina imani na Arsenal. Msimu huu nawaona wakimaliza top 4 ila sio ubingwa. Arsenal yupo ktk kiwango bora ila bado hajafika level za ushindani wa makombe kwa sasa.Yale mahesabu ya Chief Mkwawa naanza kuyaelewa.
Na bado mechi 21.
Arsenal hawajawahi kuwa serious.View attachment 2469206
Hii issue mwaka juzi niliwahi kulizungumzia sana hapa kuhusu madhara ya kuwa na mishahara mikubwa kiholela holela. Pia sio tu kuleta makundi baina ya wachezaji kuna ugumu wa ku-offload flops maana wanakuwa ghali sana kwa timu zinazowahitaji.Salaries at #mufc will be capped at £200,000 a week with David de Gea the first to be impacted. Richard Arnold and Erik ten Hag want to avoid a culture of dressing-room jealousy. [Joe Bernstein, Mail]
Madhara ya mishahara mikubwa kikosini niliandika hapa mwaka juzi japokuwa bodi wanajificha ktk kichaka cha wivu ktk vyumba vya kubadilishia nguo ila ni uongo.Tunahitaji sana mkurugenzi wa ufundi. Huyu fala hana mipango kabisa ya kiufundi anajua ku-sign cheque tu.
Huwa najiulizaga sana kama Marcus na Anthony waliweza ku-negotiate nae mezani mpaka kuwalipa $200k kwa wiki, je vipi kwa Bruno ukifika wakati wake wa kuongeza mkataba? Si tutamlipa $500k/weekly.
Madhara ya kulipa mishahara mikubwa ina-limit timu ku-accommodate talents nyingi kwa wakati mmoja kila mchezaji akitaka kuja anaona hapa ndio mahala pa kulipwa pesa ndefu.
Kwa akili za Ed sina imani kama angeweza kui-manage ile Manchester United ya mwaka 2006 - 2009. Ange-inflate salary budget beyond manageable capacity. Ingetulazimu tuuze baadhi ya wachezaji.
Pia, kama umegundua kitu sisi tukimtaka mchezaji bei huwa inakuwa kubwa sana. Timu nyingi zinajua Manchester United ya miaka hii inaongozwa na mtu bwege bwege ni rahisi kujipigia pesa. Just imagine football executive wa timu kubwa kama Manchester United hana taarifa buyout clause za wachezaji tunaotaka kuwasajili mf. Marounne Fellani.
Arsenal wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa hata kimahesabu.Respectfully, Sina imani na Arsenal. Msimu huu nawaona wakimaliza top 4 ila sio ubingwa. Arsenal yupo ktk kiwango bora ila bado hajafika level za ushindani wa makombe kwa sasa.
Timu imara pale EPL ni City na Liverpool pekee japokuwa L'pool wana-struggle msimu huu ila timu imejengwa ktk msingi imara. City na L'pool ni timu pekee ambazo zimesimamiwa project zake na kundi lile lile la ufundi kwa miaka zaidi ya 5 kila mmoja.
Tofauti ya City na L'pool kwa miaka zaidi ya 6 chini ya Pep na Jurgen kila mmoja ni City huwa wanampa support kubwa sana Pep kila msimu huwa anapewa zaidi ya Pound 150M na anaitumia yote kuongeza nguvu kikosini. Pep kila msimu lazima atumie zaidi ya Pound 100M sokoni hata awe na timu nzuri kiasi gani.
Endapo L'pool wakamnunua mtu kama Enzo Fernandes au Jude wanaweza ku-challenge tiltle msimu huu. Msimu uliopita muda kama huu walizidiwa points 14 na City ila mwisho wa msimu walikuwa nyuma yake kwa point 1 tu.
This season lazima tunyanyue kwapa ! May be FA, carabao au Europa.Draw ya FA imetoka.
Manchester united vs reading
Hiki chuma unaweza ukakiona ukajua kilienda labda mkopo kumbe kipo ndani kwako na haujui😂😂😂😂Binafsi sioni miaka hii miwili kama martial atasalia pale OT, ila kuna chuma kinaitwa Phil Jones kwanza kiligoma kukuwa kiwango kwakuwa sijui uchawi upo mwaka wa 12 huu chuma bado kipo kinakula pension