Ila Antony kwann hayuko Direct kama Garnacho halafu yeye ni mguu mmoja tu upande wa kulia unakuwa hauna madhara sana
Huyu kijana alikuwa ananifanya nitamani kumuona akipewa mpira kila wakati nadhani anajambo kubwa la kuoffer haswa kwa ajili ya timu.Huyu Pellistri ana akili na ni timu player kuliko Garnacho
Mtu mpk anaitwa world cup ujue mtu... nashangaa sn kocha anavomchukulia poa dogoHuyu Pellistri ana akili na ni timu player kuliko Garnacho
Amenishangaza licha ya kucheza kwa dakika 10Pellistri naye Mtu, sijui kazinguana nini na ETH.
Movement zake ni unpredictable bora leo kapata dakika chache na kaonesha yeye ni bora kuliko ElangaHuyu Pellistri ana akili na ni timu player kuliko Garnacho
Anaelekea Burnely, sema Man U ndio wanamchelewesha.Kuna anayejua scott mctominay anaelekea wapi kimpira.
Umri wake ni 26
Na aliwapiga kiakili city dawa yao za mbalimbali tu Nje ya boksi sasa sisi nao tukicheza nao tunafosi kupenya mpaka kumfikia kipaKama aliyowapiga city nadhani jumamosi ataipiga tena hii city wajiandae
Toa Sancho na amad ni takatakaMovement zake ni unpredictable bora leo kapata dakika chache na kaonesha yeye ni bora kuliko Elanga
Amad
Garnacho
Pellistri
Sancho
Antony
Tuna mawinga wakutosha
Hiyo ndiyo aina ya wachezaji nawapenda kabla ya ku-shoot unaangalia kwanza: je, kuna mtu yupo position nzuri ya kufunga zaidi yangu? Kama jibu ni ndiyo, ni pasi moja tu unatoa.Huyu Pellistri ana akili na ni timu player kuliko Garnacho