Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,208
- 44,163
Kaja mwaka jana Burnley kacheza Nusu msimu tu, Alitufunga Epl msimu uliopita.Kumbe anacheza Burnley?
Kabla ya hapo alikua Wolfsburg kila msimu anafunga goli 14-20 kwenye ligi kuanzia 2015 mpaka 2021. So ni proven 20G a season striker.
