Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumeambiwa huu sio msimu wetu,ya nini kujihangaisha na city ambaye anacheza kwa mamlaka na njaa ya kupata goals
Bro.. tuongee soka tuache masihara kwa kikosi kile cha pep msimu ujao anabeba tena ndoo na ukizingatia chemistry yao ipo kileleni vibaya mno....na kumbuka huyu kipara kila msimu anasajili ukizingua anakuuzilia mbali...
 
Beki kisiki DUNIA NZIMA, Captain la DUNIA NZIMA, Beki ghali DUNIANI NZIMA.

Paundi Million 80
tapatalk_1599743898325.jpeg
 
★David de Gea has been warned his place is not secure in the Manchester United team after his errors in the 3-3 draw with Everton.★

#GGMU
#ManchesterEveningNews

manutd |
IMG_20210208_140857_248.jpeg
 
★Former Anderlecht director Michael Verschueren :
“Two years ago, I was accompanied by Ed Woodward. He showed me tweets from supporters: ‘Look Michael, how cruel the fans can be’ — the tears were in his eyes. Today #mufc are second in the league.”★

#GGMU

manutd |
IMG_20210208_140844_053.jpeg
 
★Former Anderlecht director Michael Verschueren :
“Two years ago, I was accompanied by Ed Woodward. He showed me tweets from supporters: ‘Look Michael, how cruel the fans can be’ — the tears were in his eyes. Today #mufc are second in the league.”★

#GGMU

manutd | View attachment 1697521
Mafanikio ya utd sio kuwa #2
No one cares about the second position
 
★Mi nimeshangaa sana afu nikaona kama wote wawili mwonyeshaji na mwonyeshwaji hawana akili timamu maana swala wanojisifia nila kitoto kabisa na nila kawaida kabisa yani timu Form kidogo tu mnaanza kumbwela tuko vizuri wakati timu ndogo zinatusumbua wtf???★

Ed woodward ni kichwa maji hilo halina shaka when it comes to football

Hii timu inahitaji sajili tatu/nne za nguvu lakini utaona siasa za Ed kwenye dirisha la usajili lijalo..tutafanya ushubwada
 
OGS ntamuhukumu next season, hiki kikosi chake kinaitaji wachezaji kama watatu au wanne tu ili tuwe title contender mkuu

Unajua usajiri wa mchezaji sahihi mmoja tu unaweza badilisha timu nzima like Bruno
Messi cr7 na nani?
 
Ed woodward ni kichwa maji hilo halina shaka when it comes to football

Hii timu inahitaji sajili tatu/nne za nguvu lakini utaona siasa za Ed kwenye dirisha la usajili lijalo..tutafanya ushubwada
Tunahitaji sana mkurugenzi wa ufundi. Huyu fala hana mipango kabisa ya kiufundi anajua ku-sign cheque tu.

Huwa najiulizaga sana kama Marcus na Anthony waliweza ku-negotiate nae mezani mpaka kuwalipa $200k kwa wiki, je vipi kwa Bruno ukifika wakati wake wa kuongeza mkataba? Si tutamlipa $500k/weekly.

Madhara ya kulipa mishahara mikubwa ina-limit timu ku-accommodate talents nyingi kwa wakati mmoja kila mchezaji akitaka kuja anaona hapa ndio mahala pa kulipwa pesa ndefu.

Kwa akili za Ed sina imani kama angeweza kui-manage ile Manchester United ya mwaka 2006 - 2009. Ange-inflate salary budget beyond manageable capacity. Ingetulazimu tuuze baadhi ya wachezaji.

Pia, kama umegundua kitu sisi tukimtaka mchezaji bei huwa inakuwa kubwa sana. Timu nyingi zinajua Manchester United ya miaka hii inaongozwa na mtu bwege bwege ni rahisi kujipigia pesa. Just imagine football executive wa timu kubwa kama Manchester United hana taarifa buyout clause za wachezaji tunaotaka kuwasajili mf. Marounne Fellani.
 
Back
Top Bottom