Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,646
Toka wawe wamiliki wa Man U hawajawahi kutoa hata sh 10 ya usajili, hio hela ni mapato ya Timu, inamaanisha tu walichukua hela kidogo msimu huu na nyingi wakaibakisha kwenye usajili.grazzer's wanasema wao sasa wanataka tu kuuza timu ili wakafie mbele na si kusajili wanasema usajili wao walisha fanya kiangazi ,so kwa muda huu labda mfanye sajili za mikopo, hawawezi ingiliwa wakati wao ni wakusepa muda wowote.
Kiangazi walimwaga pesa mingi mingi €250m ,hivo muwe na shukrani
Halafu deni lenyewe ni la kuinunua Timu, mmiliki mpya ataitoa hela ya 2004/05 ya kununua timu na atawapa Glazzer hela ya kuuza timuTimu yetu inaharibiwa...kw nn waliuziwa bila makubaliano ya kutoiachia deni? Na kama wamecreate deni walipe wenyewe.
Tangia naana kushabikia united nakumbuka filosofi ya One united.
It's our team not some fk... glazers investment.
Sidhani kama Enzo ni priority kwetu mkuu, kwa Fee yake kuna maeneo kama Striker na Possibly RB kama Bissaka anaondoka, then DLP nahisi tutarudi pale pale kwa FDJ.Kwahiyo Gakpo to Liverpool and possibly Enzo to Chelsea.
We might never be happy again, man.
miezi 12 iliopita klabu haikuonyesha nia ya kulipa euro millioni 18 kwa ajili ya enzo fernandez.Sidhani kama Enzo ni priority kwetu mkuu, kwa Fee yake kuna maeneo kama Striker na Possibly RB kama Bissaka anaondoka, then DLP nahisi tutarudi pale pale kwa FDJ.
Enzo tutoe karibia £105m ili kumpata?..Kwahiyo Gakpo to Liverpool and possibly Enzo to Chelsea.
We might never be happy again, man.
kuna hawa jaamaaChief-Mkwawa nikushukuru kwa mara nyengine tena kwa kunisaidia application ya kuangalia mechi mubashara.
changamoto kubwa iliopo kwenye ile app ni kwa baadhi ya mechi kutokuonyeshwa licha ya kuwekwa kwenye ratiba.
kwa mfano jumatatu nilitaka kuangalia mechi ya sunderland dhidi ya blackburn rovers, bahati mbaya mechi hiyo haikuonyeshwa licha ya kuwepo kwa link yake.
siku hizi ni bora ukose nafasi ya kumuangalia darwin nunez kuliko kuipoteza nafasi ya kumuangalia amad diallo.
nahitaji msaada wa tovuti ya akiba ya kuangalia mechi pindi inapotokezea mechi husika haionyeshwi katika application ile.
www1.footybite.com
kwa club nyengine inawezekana, timu nyingi wamiliki wanaingiza hela zao kufanya invenstment, ila hawa parasite wetu hawawezi kamwe kufanya hivyo.wakati huu ambao mzunguko wa cash umepungua kwenye vitabu vya mahesabu, je haiwezekani kwa matajiri kuwekeza fedha zao binafsi kwa lengo la kuendeshea klabu.
wataalamu wa fedha nisaidieni.
mfano mdogo huyu tajiri wa chelsea haya matumizi yake yanatokea chanzo gani