John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Mancastle united[emoji23]Manchester United 23-24 Away Kit Design Leaked
#Footy_Headlines
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2464926
Mancastle united[emoji23]Manchester United 23-24 Away Kit Design Leaked
#Footy_Headlines
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2464926
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tulia wewe ,rudi nyumbani kumenogaKuna mijitu haijui mpira,unapoteza muda wako buuuure.
DullyJr unavyotupa tabu kwenye uzi wetu huu.
Target is to win the next match, that's our main targetDullyJr unavyotupa tabu kwenye uzi wetu huu.
Mkikosa Ubingwa sijui utajificha wapi.
Au utasema Top 4 ndio ilikuwa target.
Sisi hatuna shida na kombe tunakaa top if the table until may....then mtaamua wenyewe mtupe hilo kombe au vipi...DullyJr unavyotupa tabu kwenye uzi wetu huu.
Mkikosa Ubingwa sijui utajificha wapi.
Au utasema Top 4 ndio ilikuwa target.
Kabisa hakuna aliyekua anategemea jana City kikamkuta kileMpira hauna adabu mkuu. Kila kitu kinawezekana
City anaweza kudondosha point Zaid ,wingers zake zimekuwa predictable ,hasa Grealish ,pia City ukimbishia hodi anakubali ,backiline yake sio strong Kama ya miaka miwili au mitatu iliyopitaKabisa hakuna aliyekua anategemea jana City kikamkuta kile
Shida Manchester ushindi wenu haupo mbali na sare au kufungwa ,hamshindi comfortable mechi nyingi ,Mpira hauna adabu mkuu. Kila kitu kinawezekana
Ndani ya hizo mechi 3 , una City na ArsenalKabisa tena jambo lipo ndani ya uwezo wetu.
Kabisa hakuna aliyekua anategemea jana City kikamkuta kile
Man utd huwa akiondoa fear factor anatishaga sana.City anaweza kudondosha point Zaid ,wingers zake zimekuwa predictable ,hasa Grealish ,pia City ukimbishia hodi anakubali ,backiline yake sio strong Kama ya miaka miwili au mitatu iliyopita
Rejea mechi na Man u 2nd half Baada ya man u kuondoa ile fear factor ,Man city alizidiwa kila Kitu
Ni ndoto? Thats Mathematical possible, Tukishinda Mechi 3 zijazo bila kujali Matokeo ya wengineMashabiki wa Man U tuacheni hizi ndoto.
Tufurahie kushinda mechi, swala la ubingwa tusahau.
Huu uzi utakuwa mkali sana. 🔥Manchester United 23-24 Away Kit Design Leaked
#Footy_Headlines
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2464926
Tatizo Manchester United na mathematics huwa haviendi pamoja.View attachment 2465019
Kwa Ratiba ya City na Arsenal tukishinda Mechi 3 zijazo mfululizo tunaweza Officially kuingia kwenye mbio za kugombania ubingwa.
2021 mda kama huu tulikuwa tunamfukuzia Liverpool na tukampata tukawa Juu Epl Table. Hata 2020 pia tulivyoanza kuifukuzia Top 4 hatukupunguza speed mpaka tukawa watatu.Tatizo Manchester United na mathematics huwa haviendi pamoja.
Kipindi ambacho hesabu zinakubali ndiyo kipindi utaona timu ina-drop points kipuuzi. Mara ngapi tumekuwa kwenye top 4 race na tunajifelisha wenyewe.
Suala la kuwa kwenye title race linawezekana ila kushinda EPL ni ndoto ngumu sana kutimia.
Huu ubingwa naona kabisa ni City au Arsenal. Washika mitutu siwaamini sana kwasababu kuna fixtures wao kutoboa itakuwa ni vigumu sana.
Tusubiri tuone kama kuna maajabu msimu huu.
Arsenal katika mechi tatu zijazo ,mechi ngumu Ni ya away, Arsenal kwa Sasa ndio best kwa Atmosphere Wakiwa home , naziona points 7-9 katika hizo mechi 3, coz 2 home ,1 ya Spurs away .Spurs Kama unavyomjua ,Ni kudefence tuTatizo Manchester United na mathematics huwa haviendi pamoja.
Kipindi ambacho hesabu zinakubali ndiyo kipindi utaona timu ina-drop points kipuuzi. Mara ngapi tumekuwa kwenye top 4 race na tunajifelisha wenyewe.
Suala la kuwa kwenye title race linawezekana ila kushinda EPL ni ndoto ngumu sana kutimia.
Huu ubingwa naona kabisa ni City au Arsenal. Washika mitutu siwaamini sana kwasababu kuna fixtures wao kutoboa itakuwa ni vigumu sana.
Tusubiri tuone kama kuna maajabu msimu huu.
Bado tu hamjakoma kuhusu ratiba yetu, ile ya October ilikua ni ngumu kuliko hata iyo inayokujaTatizo Manchester United na mathematics huwa haviendi pamoja.
Kipindi ambacho hesabu zinakubali ndiyo kipindi utaona timu ina-drop points kipuuzi. Mara ngapi tumekuwa kwenye top 4 race na tunajifelisha wenyewe.
Suala la kuwa kwenye title race linawezekana ila kushinda EPL ni ndoto ngumu sana kutimia.
Huu ubingwa naona kabisa ni City au Arsenal. Washika mitutu siwaamini sana kwasababu kuna fixtures wao kutoboa itakuwa ni vigumu sana.
Tusubiri tuone kama kuna maajabu msimu huu.
SanaHuu uzi utakuwa mkali sana. 🔥