Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mechi imepiganiwa, wachezaji wanajituma sana, Antony pia muangalieni kwa jicho la pili, jamaa anakaba all time, kwa speed yake leo ameua counter 2 ambazo wachezaji wa wolves wangekua 1v1 na De Gea.
Kukaba jamaa aisee anaongoza kwa wanaocheza mbele..

Ila final pass zake zimekuwa hovyo sana..kuna room for a change kwa hili.
 
Mechi imepiganiwa, wachezaji wanajituma sana, Antony pia muangalieni kwa jicho la pili, jamaa anakaba all time, kwa speed yake leo ameua counter 2 ambazo wachezaji wa wolves wangekua 1v1 na De Gea.
Ndio kilichomleta hiko kuzuia counter[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?????
Hili galasà uzeni mapema mkuu
 
Rashford mmoja ni sawa na kina Nketiah 1000 na Nyunyez watatu.
JINI KATOKA MGANGA HOI

Kila Siku ukitegemea miujiza , ndio yanayomkuta David Moyes

Kuna kimbunga kinakuja karibuni hapa 2 matches na Barca ,huku FA cup, huku Epl unasubiriwa Emirates,n.k

Ratiba Kama hii ndio ilimfukuzisha kazi Ole gunar
 
Back
Top Bottom