Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna kimbunga kinakuja karibuni hapa 2 matches na Barca ,huku FA cup, huku Epl unasubiriwa Emirates,n.k
Licha ya kwamba bado hatuperform kwa kiwango cha juu ila jicho langu bado linaniambia Ukimuondoa manchester city hakuna timu nyengine yenye uhakika wa kutufunga na kutuadhibu bila ya huruma kwa wakati mmoja.

Kuna kufungwa na kuadhibiwa
Nasisitiza hakuna.
 
Ndio kilichomleta hiko kuzuia counter[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?????
Hili galasà uzeni mapema mkuu
Hata Ajax alikua hivi hivi ETH anajua amenunua nini, kipindi anasajiliwa Mashabiki wa ajax walikuwa wanasema ni Big game player ila mechi ndogo nyingi anakuwa hana motivation.

Amesajiliwa kutupa width na kucover upande wa kulia hio ndio kazi yake muhimu zaidi, na anaifanya vizuri tu hio kazi.
 
Kuna mijitu haijui mpira,unapoteza muda wako buuuure.
 
Bruno Fernandes’ game by numbers vs. Wolves:

85% pass accuracy
68 touches
4 key passes
4 ground duels won
3 long balls completed
1 assist

#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20221231_174737_864.jpg
 
Marcus Rashford’s game by numbers vs. Wolves:

93% pass accuracy
45 minutes played
23 touches
2 shots on target
1 yellow card
1 dribble completed
1 goal

#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20221231_174743_127.jpg
 
Player ratings
Rashford 7.1

[SofaScore]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20221231_180948_571.jpg
 
Anthony Elanga, discussed between Lampard and the board as option for January window.

#FabrizioRomano
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Licha ya kwamba bado hatuperform kwa kiwango cha juu ila jicho langu bado linaniambia Ukimuondoa manchester city hakuna timu nyengine yenye uhakika wa kutufunga na kutuadhibu bila ya huruma kwa wakati mmoja.

Kuna kufungwa na kuadhibiwa
Nasisitiza hakuna.
Nikweli kabisa hata huyo city tukikutana nae mrudiano oldtrafford ni vigumu kutufunga tena.
 
Rashford: “I overslept and I missed the pre game meeting. I was a little bit late. It's the team rules and I understand the decision”,
[emoji23][emoji23][emoji23] 10 Hag hana masihara ukijifanya una unausingizi sana mpaka ukachelewa mazoezini au kwenye pre game meeting unakula bench bila kuangaliwa usoni hata kama ndio mchezaji tegemeo kwenye timu.

Kocha simamia hapohapo kwenye ni nidhamu ya timu maana kuna michezaji ilikua ishaanza kujiona mifaza hapo OT.
 
Short tempered huyo manager kibonde wenu
 
Kuna wakati namuangalia Casemiro natamani angekuwa na umri wa Garnacho.
Are you serious Jombaa? Huwezi kuwa na uwezo wa Casemiro ktk umri wa miaka 18.

Uchezaji wa Casemiro ni mjumuisho wa uzoefu wa kucheza michezo mingi sana ktk ngazi ya ushindani.

Hata yeye mwenyewe Casemiro ktk miaka 18 hafikii hata asilimia 25 ya uwezo wake wa sasa.
 
MUFC have won all 10 games when they've been leading this season.

7 cleans sheets so far, only #NUFC with 9 have more.
Daemushin, Tunza hii comment yangu, nitafute tarehe 28 mwezi wa 5, 2023 saa mbili usiku.

Tofauti yetu na Arsenal mpaka leo siku ya mwisho wa mwaka 2022 ni alama 11 tumefanana michezo wote tumecheza mechi 16.
 
Kwa miezi 30 aliyo saini mpaka anamaliza mkataba wake atakuwa amevuna Tsh. Trilioni 1 na billion 230. Ndie mchezaji anae lipwa zaidi duniani katika michezo yote unayo ijua. Hiyo ni rekodi ya duniani haijawahi kutokea awali aliyekuwa analipwa zaidi alikuwa Mbappe.

1. Cristiano Ronaldo

2. Mbappe

3. Nikola Jokic
Hawakati kodi huko
 
Back
Top Bottom