Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Mpira wa ulaya asilimia kubwa umebadilika tofauti na zamaniWale waliokuwa wanadhani kuna Top club ya Ulaya watachukua tatizo hili waje waone.
Nilisema huyu kilichobaki ni kukimbilia Sporting,Uarabuni au Marekani.
Kwasasa kila mchezaji ndani ya pichi ana majukumu muhimu ,ikitokea mmoja hatimizi, anavuruga systems nzima ,Ronaldo kwa ulaya top teams zisingeweza kumvumilia, hakimbii tena, anataka atembee kwenye pichi , matokeo yake mnakuwa Kama mmepewa Red card