


Mkuu itakua mda gany kwa masaa ya huku#PL - Game Week 18
Wolverhampton
Sat, Dec 31, 15:30
Molineux St.
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2464280
Mkuu allypip katika ubora wako,kweli dunia nzima ina furaha.Siku ya furaha imefika siku ya pira safi na la kuvutia imefika ni siku ambayo hata fans wa arsenal lia lia Aaron Arsenal alikuwa anaingoja kwa shauku kubwa kweli kweli.
Ni siku ambayo dunia nzima inatulia kazi zinasimama ndo ni leo iyo unajua kwanini?
sababu ni moja tu.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Wolverhampton 1 vs Manchester united 2
Time
9.30 mchana
Na nyote mna karibishwa.View attachment 2464298
saa 9 na nusu alasiriMkuu itakua mda gany kwa masaa ya huku

Marcus Rashford is on the bench for Manchester United due to “internal disciplinary”, ten Hag says.
#MUFCHuyu garnacho anakosaje pale?