mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,694
- 19,545
Ukosefu wa ajira na stress za maisha ndio hizi sasa[emoji23][emoji23]Hapana sisi tunamgombania mkeo.
Ukosefu wa ajira na stress za maisha ndio hizi sasa[emoji23][emoji23]Hapana sisi tunamgombania mkeo.
Sasa wewe Fulana, Kisa mmekikosa kile ki gakpo ndio uwe na stress ivyo? hehehe na ngoja leo mkandwe kiutamuutamu matakataka nyie.Hapana sisi tunamgombania mkeo.
Gapko ni Nunez mweusi tu, kwa Liverpool ninayoijua mimi muda sio mrefu huyo mmakonde wa Netherland nae ataanza kutukanwa humu.Sasa wewe Fulana, Kisa mmekikosa kile ki gakpo ndio uwe na stress ivyo? hehehe na ngoja leo mkandwe kiutamuutamu matakataka nyie.
Hamna mkuu ni Varane na ShawKocha amwambie Lisandro aache ujinga..and where the f is Lindelof..ameumia tena??
Yaani leo beki za kati ni Casemiro na ShawView attachment 2460275