Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wolves, West Ham and Crystal Palace remain interested in Aaron Wan Bissaka. #MUFC are trying to find a solution for Wan-Bissaka in order to let him leave.

#FabrizioRomano
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20221220_122610_585.jpg
 
Hata kama aliumia, michuano ya Wc inafanyika mara 1 kwa kipindi cha miaka 4 tena mechi zake mpaka kufika fainali hazizidi 10, ila mechi za ligi pamoja na mashindano mengine mbalimbali ya club ni zaidi ya 60 tena kila mwaka zipo.
Kikubwa ufaransa tayari alishachukua WC 2018 hii ilitakiwa wachukue wengine.
Ilitakiwa achukue England mbona mngekoma
 
Raisi wa nchi ya Argentina Alberto Ángel Fernández Pérez amempongeza mno Lisandro Martinez kwa kuiwezesha nchi yake kutwaa kombe la dunia, Pia ameishukuru sana club ya Manchester United kwa mchango wake mkubwa wa kuwang'arisha wachezaji wa Argentina duniani, akitolea mfano wa Carlos Tevez raisi Fernández amesema anaandaa memorandum of understanding kati ya Argentina na United ili raia yoyote wa Argentina anapotaka kucheza soka nje ya nchi kipaumbele cha kwanza iwe kwenda kucheza soka kwenye club kubwa zaidi ya Manchester United.
Raisi Alberto Ángel Fernández Pérez alikua anaongea kwa hisia kali mpaka machozi yalikua yanamtiririka.

#Viva Lisandro Martinez
#Viva Manchester United
#Viva La Albiceleste
 
Mechi ya mwisho Varane kuichezea united alipata majeraha yaliyopelekea kuwa na wasi wasi wa kuliwakilisha taifa la ufaransa kwenye mashindano ya kombe la dunia,jamaa alilia kama mtoto mdogo vile. Jana wakati akiliwakilisha taifa la ufaransa kwenye kombe la dunia alipata majeraha yaliyofanya akatolewa uwanjani lakini hakuwa akiwaza kuhusu kuzikosa mechi kadhaa za united msimu utakapoanza wiki ijayo
.
Ndio maana nilimsapoti sana Licha kunyanyua kwapa QATAR dhidi ya huyu mfaransa.
Varane alichoka kama mbwa.
 
Manchester United have triggered the options to extend contracts of these players until June 2024.


Marcus Rashford
Diogo Dalot
Luke Shaw
Fred

#fabrizioRomano
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20221220_174849_209.jpg
 
Ni furaha kwa kweli kila mtu ana furahi kila mtu anacheka hapa nilipo unajua ni kwanini sababu ni moja tu.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha.

Prediction

Manchester united 4 vs Burnley 1

Time

5.00 usiku

Stadium

old trafford

Screenshot_20221217-155041.jpg
 
Back
Top Bottom