OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Dah wewe jamaa imebidi nifurahi TUnyie matakataka inakuwaje munashinda alafu sisi Chelsea tunafungwa? Nyie muna timu mbovu tena takataka haswa.
Ninyi musimu muna malengo gani?
You know nothing about football kaa kimya utachekwaKabla ya Ole Ronaldo alikuwa anakimbia kimbia tu uwanjani, tuliomuona Ronaldo 2003-2006 tunajua, hakua akijua kupiga vichwa, mashuti na skills nyingi za Striker, ole anastaafu na kupewa Ukocha wa Maforward ndio akaanza kuwafua Forward wetu mpaka tunaona 2006-2009 tuna fluid front line,
Ole kamfundisha Haaland ambaye watu kibao walisema hawezi toboa kama Mchezaji, Ole amewafanya Martial, Rashford na Greenword kufunga Goli nyingi kuliko Salah, Mane na Firminho,
Hivyo Ole ameprove talent yake ya kufundisha striker,
Ulipo mavi yamekubana.Willian ,palhinha, mwanangu mwenyewe Pereira
GK Leno
Leo kitawaka
Wewe ndio mjinga ,unahisi mafanikio ya furgson yalikuja Kama makalio Kila mtu anayo ,yey mwenyewe alichezea vichapo mbali mbali ,mpka kuja kutengeneza system yake iliyompa mafanikio .....saizi mmekalia kutimua timua tu makocha [emoji23][emoji23][emoji23]kwa vile wewe ni mamruki na shabiki wa 2006 huwezi elewaWewe ni takataka huna akili kenge wewe
Yani MTU anamdharau kocha hadharani unasema anaonewa ?Man u ina matatizo na watu hawataki kuambiwa ukweli
Mwisho wa cku CR7 kasema ukweli ili timu ipone matokeo yake watu wanamshambulia CR 7
Cjui vichwan mwa watu kuna nn? Mtu anajifanya kuijua man u kuliko CR7 mwenyewe
Respect is a two way traffic, i cant respect you if i see you dont respect me enough. By the way respect is earned not given.Yani MTU anamdharau kocha hadharani unasema anaonewa ?
Pumbavu kabisa wewe
Nonsense from The NonsenseRespect is a two way traffic, i cant respect you if i see you dont respect me enough. By the way respect is earned not given.
Kunya tawaza ulaleWewe ndio mjinga ,unahisi mafanikio ya furgson yalikuja Kama makalio Kila mtu anayo ,yey mwenyewe alichezea vichapo mbali mbali ,mpka kuja kutengeneza system yake iliyompa mafanikio .....saizi mmekalia kutimua timua tu makocha [emoji23][emoji23][emoji23]kwa vile wewe ni mamruki na shabiki wa 2006 huwezi elewa
Hao ndo wachambuzi wa buza 😊 wajuaji kuzidi hata man U wenyewe😁😁You know nothing about football kaa kimya utachekwa
1999 sio 1997Hebu niambie kocha hana mbinu anawaonyesha goli ya 1997 alafu ana waacha mdiscuss
Kesho yake 5 bila
Ronaldo kasema ukweli
Yaani unaondoka man u unarudi baada ya miaka 10 naa unakuta watu wale wale alafu utegemee maendeleo yale yale
Kuongea na kutenda ni vitu viwili tofauti.We jamaa kichwa yako kwenye mpira
imejaa madini tupu.
Nikinunua timu daraja la pili nakuchukua uwe DOF, naimani baada ya misimu miwili timu yetu itapanda daraja, ndani ya miaka 5 nikiwa na wewe ninauhakika tunachukua kombe ligi kuu.
Dawa yake ni kuendelea kubaki hapo, halafu hakuna kupangwa mechi yoyote, ili aondoke bure mkataba wake ukiisha. Amejilipua ili United wavunje mkataba, ambapo ikiwa hivyo itabidi alipwe!Ronaldo kawachana aisee dah
JAMAA kajilipua hatari Sana
Huyu harudi Tena man u
Hii ndiyo dawa, mpaka mkataba uisheTen Hag awe na ujasiri wa kumuweka benchi.
Hakuna jipya ambalo kaongea kuhusu hili. Kwani toka Glazers wamechukua timu, wamekuwa wakipingwa. Hilo la kutokuwa na progress nalo limeongelewa sana. Kumbuka habari za United kutokuwa na technical director katika modern football! Kuhusu kivuli cha SAF kubaki nalo limesemwa sana.Ila kuna vitu kaongea bora tu kapiga bomu maana ni dongo direct kwa Glazers wanaomkumbatia.