Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ameondoka Madrid kwasababu ya ego.

Ataondoka United na hakuna atakaetamani kufanya nae kazi.
 
Hayo yote hapo juu yanahusika vipi na kutomuheshimu kocha?

Kabla ya Ronaldo kuja United mashabiki walishaanza movement ya kuwatoa kina Glazers.

Kuna lipi la ajabu?
 
Guardiola: "Lampard, Scholes or Gerrard? Big respect for Frank [Lampard] and Steven [Gerrard], but Paul Scholes is my favourite. I love him. I think he had it all."

#RonaLdoOUT
#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd View attachment 2416528
Lazima amkubali Scholes kwa sababu ndiye alikuwa anaendana na Mpira waliokuwa wacheza Barcelona.
 
Sidhani kama kuna timu yo yote itakayokuwa kumchukua mtu anayejiona wa maana kuliko wenzake wote, na hata kuliko kocha.

Labda Sporting Lisbon alikoanzia!
Hawana hela ya kumlipa.

Labda afanye kama pro bono.
 
Kijana Ronaldo ni Mkubwa kuliko Ten Hag kiuchumi,Makombe,pesa,kapitwa kila kitu na Ronaldo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] uzuri Sindano imewaingia hehehehehe
Elon Musk ana hela kuliko Joe Biden.

Ila anamuheshimu kama baba ake.

Ten Hag ni kocha, haijalishi ana pesa kiasi gani, ila anaweza kumuweka benchi msimu mzima na asimfanye kitu.
 
"Mimi leo kuja kucheza na vitoto havina vipaji kama Sancho na Elanga? Ndugu mwandishi natamani Ningekuwa Pembeni ya Vijana kama Odegaard, Saka au Martnelli Ningefanya Makubwa sana"
Ronaldo akihojiwa
 
Wewe hata ukimchukia Ronaldo haumfikii kwa lolote so potezea tu Ronaldo ni Legend wa Manchester United
 
Wakati anaenda Juve hakua flop nakupinga kwa hilo
 
Kuna mtu anakwambia Ronaldo ni taasisi.

Siku aondoke Man Utd uone kama kuna timu ya maana itamtaka.
Utd ndio imemtengeneza Ronaldo, angekuwa Chelsea ama Arsenal angekuwa tu kama kina Saka.

kuanzia enzi za Kina Charlton, Law, Best, Cantona, Beckham etc united imetengeneza Global superstar,

United Pekee mtu kama Depay, Bastian, Martial etc anaingia top 3 ya mauzo ya Jezi.

Hata leo ukiangalia Fanboy wengi wa Ronaldo wanatoka Man U.
 
Lazima amkubali Scholes kwa sababu ndiye alikuwa anaendana na Mpira waliokuwa wacheza Barcelona.
Scholes Mpira wake ni vice versa ya Barcelona, kifupi timu zinazo posses zinapata tabu kucheza na Midfield Design ya kina Scholes (Mzee) , Pirlo, Alonso etc wachezaji ambao wanahamisha uwanja na hawana time na kuminyana kuminyana.
 
"Mimi leo kuja kucheza na vitoto havina vipaji kama Sancho na Elanga? Ndugu mwandishi natamani Ningekuwa Pembeni ya Vijana kama Odegaard, Saka au Martnelli Ningefanya Makubwa sana"
Ronaldo akihojiwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cristiano Ronaldo [emoji2788]”I remember before one match, Ole Gunnar Solskjaer didn’t do a team talk in the dressing room. He just put on a video of his goal in the 1999 Champions League final. We lost 5-0.”
Kabla ya Ole Ronaldo alikuwa anakimbia kimbia tu uwanjani, tuliomuona Ronaldo 2003-2006 tunajua, hakua akijua kupiga vichwa, mashuti na skills nyingi za Striker, ole anastaafu na kupewa Ukocha wa Maforward ndio akaanza kuwafua Forward wetu mpaka tunaona 2006-2009 tuna fluid front line,

Ole kamfundisha Haaland ambaye watu kibao walisema hawezi toboa kama Mchezaji, Ole amewafanya Martial, Rashford na Greenword kufunga Goli nyingi kuliko Salah, Mane na Firminho,

Hivyo Ole ameprove talent yake ya kufundisha striker,
 
Ronaldo " Haiwezekani Magwaya anaye ongoza kutumalizia chakula kwa kula matonge makubwa kwa kasi, mmempa unahodha mimi nisiyeshiba mkaninyima"
 
Alafu anamdiss duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…