Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa boss, unataka kusema Bruno hajui ama? Nimesema kuja kwa Eriksen kumemaliza kiwango cha Bruno? Eriksen kapunguza kuonekana kwa Bruno. Cheki stats hizi, na hapa wote wana games sawa 13 za EPL.

View attachment 2415912

Hizi ni za League cup:
View attachment 2415914

Hizi ni za Europa:
View attachment 2415915

Sasa hapo huoni jinsi Eriksen alicholeta kwenye timu, ambacho Bruno alikuwa akifanya?
As long as wote wanachangia kwenye timu, kama shabiki unataka ni zaidi?

Hao watu wanaosema Ronaldo kammaliza Bruno wanatumia stats zipi?

Sasa hayo ya sifa na wanawake siyo ya kisoka, ni yako tu.
Mkuu kiwango cha Fernandez tumeanza kukilalamikia kabla hata ya ujio wa Eriksen.
Jamaa anapoteza mipira kizembe sana hali inayopelekea kuigharimu timu.
 
Kitendo cha PENDU kumsema vibaya ETH
Naona january asepe tu ETH kamvumilia sana alikataa kuingia sub dhid ya spurs
Akapewa ukapteni bado mpira wake mbovu juzi dhid ya villa tukafungwa 3 yeye akuwepo ndani bila msaada sasa naelewa kwanini florentino perez aliuza hii flop kwa juve
Unafikiri Ronaldo Anajali?Ronaldo ni GOAT hapo kwa Manchester United unahisi nani kaipa mafanikio kati ya hao wawili?huyo ETH atapigwa kama ngoma na Barcelona na EPL top 4 hatagusa and mind you Ronaldo ndio last player toka EPL kuleta Ballon D'or hapo ujue
 
Ronaldo ni mchezaj wa hovyo sana alikuwa akifos kupndoka akakosa timu kwa sasa anasema united wasaliti
 
Unafikiri Ronaldo Anajali?Ronaldo ni GOAT hapo kwa Manchester United unahisi nani kaipa mafanikio kati ya hao wawili?huyo ETH atapigwa kama ngoma na Barcelona na EPL top 4 hatagusa and mind you Ronaldo ndio last player toka EPL kuleta Ballon D'or hapo ujue

Kupigwa kama ngoma sio inshu sijui ni kocha gani hajawah kupigwa kama ngoma hebu mtaje hapa ambae hajawah kufungwa na kukosa nafasi muhimu za timu yake kuongoza ktk mashindano
 
Kitendo cha PENDU kumsema vibaya ETH
Naona january asepe tu ETH kamvumilia sana alikataa kuingia sub dhid ya spurs
Akapewa ukapteni bado mpira wake mbovu juzi dhid ya villa tukafungwa 3 yeye akuwepo ndani bila msaada sasa naelewa kwanini florentino perez aliuza hii flop kwa juve
Full interview itatueleza Kwa nn alizingua kuingia sub , kaa Kwa kutulia
 
Unafikiri Ronaldo Anajali?Ronaldo ni GOAT hapo kwa Manchester United unahisi nani kaipa mafanikio kati ya hao wawili?huyo ETH atapigwa kama ngoma na Barcelona na EPL top 4 hatagusa and mind you Ronaldo ndio last player toka EPL kuleta Ballon D'or hapo ujue
Achaga ufala na wewe,kila zama zinaexpire,ingekua ivo mpaka sasa wakina Pele na Maradona wangekua wanacheza,Ronaldo muda wake umeisha mguuni anaforce tu sympath kwa mashabiki,ila muda ndo umeisha..
Infact huko kupigwa kwetu kama ngoma ndo tunapenda,kama Liva na klop wake walivokua wanapigwa.
 
..
20221114_103708.jpg
 
Nilitaka kwenda Man City lakini Sir Alex Ferguson alinipigia na kuniambia sipaswi kwenda City nami sikutaka kumkatalia, nikaufuata moyo wangu na nikarejea Old Trafford.

Nilidhani nitaona vitu tofauti ndani ya United lakini nimeshangaa mambo mengi ni yale yale tangu nilipokuwa nina miaka 20,21,22 teknolojia imebadilika ila United tupo pale pale.

Nahisi kusalitiwa na Man United, kuna baadhi ya watu hawataki niwepo hapa na sio msimu huu tu ni tangu msimu uliopita wanataka niondoke, mimi naiheshimu sana klabu hii na Mashabiki wake.

Sina heshima yoyote kwa Erik Ten Haag kwakuwa yeye haniheshimu, kama wanataka kufanya mabadiliko ikiwemo kuniondosha ni sawa ila wanapaswa kubadili vitu vingi sana ndani ya United.

Sijui kwanini Wayne Rooney ananikosoa sana, pengine kwakuwa bado nacheza muda mrefu tena kwenye ushindani mkubwa kuliko yeye, hilo sifahamu.

- Sehemu ya Interview ya Ronaldo na Piers Morgan ambayo itaanza kuruka Jumanne na Jumatano.
 
Achaga ufala na wewe,kila zama zinaexpire,ingekua ivo mpaka sasa wakina Pele na Maradona wangekua wanacheza,Ronaldo muda wake umeisha mguuni anaforce tu sympath kwa mashabiki,ila muda ndo umeisha..
Infact huko kupigwa kwetu kama ngoma ndo tunapenda,kama Liva na klop wake walivokua wanapigwa.
That's why nimesema Ronaldo hajali hilo kawasha moto ndani kunaungua dunia nzima inasubiri interview kesho wewe ukiwemo
 
Full interview itatueleza Kwa nn alizingua kuingia sub , kaa Kwa kutulia
Itoke mara ngapi? Anajua january hatopata timu kwa pride yake na hata kabla ya msimu uliopita kuisha alikuwa anatafta timu nyingne zote zilimkataa
Interview nyingi kuliko magoli aliofunga msimu huu
PENDU KWISHNEY
 
Cristiano Ronaldo on Man Utd: "Nothing changed since I left. The pool, the jacuzzi, even the gym, even some technology. Even the chefs who I appreciate, lovely people". #MUFC

"I thought I would see new technology, infrastructure. I saw things I saw when I was 20!".
 
Bado kuna watu wataendelea kumtetea Ronaldo? Mchezaji kama huyu ni hatari sana kwenye timu. Ameisha na hataki kukubali ameisha, kiburi chake kinaweza kuua ari ya wachezaji kama kikilelewa.

Pongezi nyingi sana kwa EtH kwa kutokujali ukubwa wa jina lake, kwa MUFC sasa hivi Garnacho ni wa muhimu kuliko hata huyu 'Drama queen'
 
Pogba kashtumiwa sn alikua kirusi enzi xa mourinho ila hakuwahi kutoka public na kuongoe upuuzi aloongoea ronado kwamba hamuheshimu kocha.. hyo ndo proffesionalism???

Ronaldo ni selfish na mtu mwenye ego sn anapenda kutukuzwa na kuheshimiwa ata ambapo hastahili..

Madrid kaondoka kwa shali, juventus kaharibu then anakuja kumalizia man u..

Ni mpumbav pekee anaeza kutetea ujinga huu
 
Ronaldo was told on Thursday that he would not be in the starting XI against Fulham but he would have been in the squad. He told the club he was ill. No one at United has ever disrespected Ronaldo - even after he asked to leave & after he refused to come on as a sub v Spurs 3/3
 
Back
Top Bottom