ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,554
- 7,992
SureLingard is better than Sancho.
SureLingard is better than Sancho.
WALE KINA ELANGA WAKO WAPI HUYU SANCHO AKAKALIE BENCHILingard is better than Sancho.
WapumbavuWALE KINA ELANGA WAKO WAPI HUYU SANCHO AKAKALIE BENCHI
Kaa kimya, fuatilia kilimo sio mpiraLingard is better than Sancho.
NakaziaHii mechi angekuwepo Martial tungekuwa tunaongoza goli mbili au tatu
Amfanye mara ngapi mkuu, CR7 ndo ashamaliza career yake vibaya. 10Hag sio wa mchezo, haangalia suraTen hag hana uwezo wa Kufanya cr7 amalize carrier yake vibaya.
Trust me you
Huelewi unachoongeaTumepigwa dhahiri pale ..
We jamaa kashabikie wakina Konde boi kwenye soka mweupe kabisa.Huelewi unachoongea
Chief-Mkwawa humwambii kitu kwa Rashford .Umuhimu wa kuwa na mtu mwenye akili ya straiker unaonekana.
Kama vipi fumua fumua shuti basi, maana trashford akili ya angle ya kupiga hana.
Hope second half 10hag ataimprove offensive approach
We jamaa nasoma post zako sana, naona unaandika pumba nyingi sana kwenye jukwaa, uhuru umezidi sio!!??Umuhimu wa kuwa na mtu mwenye akili ya straiker unaonekana.
Kama vipi fumua fumua shuti basi, maana trashford akili ya angle ya kupiga hana.
Hope second half 10hag ataimprove offensive approach
Just simple Ignore meWe jamaa nasoma post zako sana, naona unaandika pumba nyingi sana kwenye jukwaa, uhuru umezidi sio!!??
Hahaha 😂😂Chief-Mkwawa humwambii kitu kwa Rashford .
Me nakushangaa wew mwamba, unaesema lingard better than Sancho, uko serious!!???We jamaa kashabikie wakina Konde boi kwenye soka mweupe kabisa.