Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG_20221019_191425_822.jpg

Conte ni mjanja mjanja sana.

Ukiichukulia kauli hii technically utaona Conte anawapa presha Ten Hag na benchi lake kumuanzisha Ronaldo siku ya leo, mtu ambae ni rahisi kumkaba, sio mzuri kwenye possession na kibaya zaidi ha press effectively.

Ten Hag akiingia huu mkenge leo ameyakanyaga. NDOIGE lazima iwahusu!
 
View attachment 2392132

Mkuu umechambua ki jicho la 3 sana

Conte anamvuta Ten katika 18 zake
Unaweza kuona kama anampa heshima cr7 kwa game iliyopita waliyokutana nao
Lakin hiyo ni bonge moja la TRAP
 
Aah kmmke fred kaanza
Fred sio shida sana..mpambanaji sana sana..shida iko pale kwenye namba 2 wetu. Toka ligi imeanza Diogo anaanza tu na ni wa ovyo sana. Nikashangaa kwa nini kila mechi iwe Europa au ligi lazima aanze. Kumbe hatuna beki wa kulia mwingine zaidi yake. Mjinga sana Shaw anapanda huku kushoto anapiga makrosi ya maana. Lenyewe lipo lipo tu kucheza marafu.
 
So far so good,,, tumekuwa na 1st half nzuri Sana ,,,, Hugho kawasaidia sana Spurs,,,, !!!!!

GGMU#
 
Pila biriani bila kua na magoli ni utopolo mtupu, ingawa unapigwa mpira mkubwa sana ila muda wote unakua na presha unawaza ikitokea chance kwa Kane au Son hawawezi kutuacha salama.
Ubora wa Lloris aliouonesha kipindi cha kwanza umetukosesha zaidi ya magoli 3 ya wazi, huyu kipa anawaokoa sana Spurs.
Screenshot_20221019-231731.jpg
 
Back
Top Bottom