Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Up the reds

Mid ya case na Fred was hot

Anthony hakuwa na bahati leo,,,, , he was on fire,,,,,

De gea alikuwa likizo

Bruno wa season ya kwanza naanza kumuona ,,,,

Sancho hakuwa mchezoni, bad day in the office ,,,,

3pnts with a clean sheet!

Aiseee dalot Bado, offensively hayuko POa, pia ana makosa mengi Sana kwenye kudefend,,,, ile Namba ina changamoto sn, sema mwenzie ndo AWB
 
Remember when Conte winning the league in 2015 and the Serie A against this current Juventus side supposedly meant he was equal to Pep Guardiola according to some accounts?

Just look at the football, man. Stop rating coaches based on names. Watch the football.

Be that honest.
 
Sijawahi kuamini Kama Conte Ni Kocha mzuri kwa kizazi hiki

Ndio maana anatakaga wachezaji wazuri wamsaidie kwenye individual brilliance

EPL aliyoichukua 2015 Chelsea ,most of managers walikuwa hawajui kumkabili na 3-4-3 yake , baada ya msimu huo ,walimpa kipigo had akatukuzwa Chelsea , aliwahi kula bao 6-0 kwa Pep Guardiola

Conte Ni Tony Pulls anaye demand wachezaji wakubwa, Conte akicheza hata na ndanda atakaa nyuma asubiri individual brilliance za Kane

Now kaua kiwango Cha Son, Richarlson mech 10 goals 0

Bila Harry Kane ,Conte atagombea kushuka daraja
 
Ulisema tokea muda mechibjana nimeamini kabisa Conte kaisha ..
 
Mara nyingi nilikuwa namsapoti Ronaldo ila kwa kitendo alichofanya jana uzalendo umenishinda naona wachezaji wana morali ya juu ya kupambana kitimu yeye analeta mentality za ufather na kumpangia kocha hata kipindi yuko Real Madrid jamaa wakishinda wenzake hata timu ukishinda bila yeye kufunga hana hata raha hata kwenye kushangilia anashangilia kinyonge kiufupi mbinafsi sana na anapenda mafanikio binafsi ..
 
Sema Ten Hag seems hana masikhara kabisa, haangali jina.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Na asije akafanya masikhara pia kumuongezea hata mmoja hawa wanaomaliza mikataba. Hata waonyeshe ubora kiasi gani msimu huu hii mifuko iende tu. (Rashford, Degea, Fred, Dalot, Jones, Tuanzebe, Ronaldo, Shaw, Heaton)

Hao wote hapo wanaweza kuwa kaburi lake siku za usoni akijikoroga kumpa hata mmoja mkataba mpya. Ukimuondoa Ronaldo ssb ya umri waliobakia wote hawana ubora wa kucheza United. (inconsistency performance)
 
Ile Trap aliyotega conte ya kumsifia cr7 ili aanzishwe iwe rahisi kumkaba, jana Ten kairuka vizuri tu

Matokeo mliyopata jana
Ni ushindi kwa ARSENAL, technically wazee wetu mnazidi kubariki hiki kikombe cha ligi msimu huu tukibebe

Pongezi za dhati kwa Fred, Nilishawai kumuelezea humu.
Kwamba leo mzima, kesho kichaa anapiga watu mawe

Haaland kiatu
Arsenal ndoo
 
Ligi bado mbichi sana, haya mambo njoo uyazungumze tukiwa mzungo wa pili wa ligi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom