martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,463
Kylian Mbappe
Kwamba Anthony sio tishio, coz anaeleweka style yakeKifupi Paul anamaanisha Nini hapa View attachment 2379923








anaenda kucheza na matimu yapo kwenye periodic table of elements , et amonia salphate.....Hili jukwaa si la kuendelea Kubaki kama maneno yenu ndiyo haya.CR 7 mnamuua kidogo kidogo mazee mbona mess bado anakiwasha ....haki ya Mungu hatakuja kuwasahau nyie nyumbu kwa kumpotezea na kumfedhehesha kwenye ulimwengu wa soka pamoja na heshima aliyonayoanaenda kucheza na matimu yapo kwenye periodic table of elements , et amonia salphate.....
Bora hata sisi tuligusa kanyavu mkuu.Huu utopolo ulichabangwa bao sita![]()
Hii ilikuwa zaidi ya aibu. Mkuu allypipiBora hata sisi tuligusa kanyavu mkuu.View attachment 2380339
Hamna kitu huyo jamaa,bado anacheza kizamani sana....winga za kuviziaUnamuangalia Vizuri Yule Antony Santos Au Unabwabwaja Tu






Kama zile 3 mlizochukua kwa city eti eeeeh.....Shida sio kurukaruka, Tatizo ni upatikanaji wa point 3.
Halafu pia acha kumfananisha 10 Hag na vitu vya kijingakijinga.
Pia msilazimishe falsafa zenu na zetu zifanane, nyie tokea kipindi cha Wenger mnajulikana mpira wenu ni Mariamu Biriani (kandanda tamu, rosti rosti kibao ila baada ya dakika 90 mnajikuta mna draw au mmeliwa ndogo)
Man United kipaumbele chetu kwanza ni point 3 muhimu, halafu hayo mengine ndio yanafata.
Sasa nyie Nyani msitake kutulazimisha binaadamu tufanane na nyie.
Nyie endeleeni kurukaruka kwenye miti sisi tupo chini tunawachora tu.
Hamna kitu huyo jamaa,bado anacheza kizamani sana....winga za kuvizia![]()
WAZEE wa top of the tableWazee wa kileleni
Santos hakuna mchezaji pale,Unamuangalia Vizuri Yule Antony Santos Au Unabwabwaja Tu

