Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,721
Punguzen ukali wa maneno aisee, mpira tu huuDawa yenu kutombwer bao kazaa ndio mtaacha kusema sema
Punguzen ukali wa maneno aisee, mpira tu huuDawa yenu kutombwer bao kazaa ndio mtaacha kusema sema
Bora Scholes aseme ,tukisema sisi kina Flano wanaona tunawananga,Santos hakuna mchezaji pale, View attachment 2380577
Mmezidi asernal mnafanya nini huku mkun.duni kwetuPunguzen ukali wa maneno aisee, mpira tu huu
Unajihaukisha star wa timu ya Brazil. Sasa hata kama watu Bora huwajui, na Brazil huijui??Bora Scholes aseme ,tukisema sisi kina Flano wanaona tunawananga,
Anthony anajikumbusha Nicolas Pepe ,atakupa vigori vya hapa na pale , ila performance wise, utaisikia kwa jirani
Uyo city tushamla sita wewe ulishamla sita? Yeye kakutungua mara mbili.Bora hata sisi tuligusa kanyavu mkuu.View attachment 2380339
Sema Man City ya 2007. Shika hizo 4.Uyo city tushamla sita wewe ulishamla sita? Yeye kakutungua mara mbili.
Hizo mbona tulishawapiga kabla yenu? Au unajisaaulisha goli la Pedro sekunde ya 29.Sema Man City ya 2007. Shika hizo 4.View attachment 2380928
Hizo mbona tulishawapiga kabla yenu? Au unajisaaulisha goli la Pedro sekunde ya 29.





chokoEverton tuna jambo letu leo tutapiga pale pale kwenye mshono wa man city
Nyumbu nyie![]()
HUNA AKILI.Mmezidi asernal mnafanya nini huku mkun.duni kwetu
bora umenisaidia kumwambia, anaonekan shogaHUNA AKILI.
Matchday..
GGMU..
My starting XI vs Everton
=======
De Gea
Dalot Lindelof Martinez Shaw
Fred Casemiro Erisken
Antony Martial Rashford
=======
Ronaldo bado sana,
Na hata kama kaisha muache ale pensheni yake pale utd, si lazima kwenda huko
Ni bingwa wa kuwakosoa nyie mnaosema kaisha, anaweza ghafla akawanyima lakuongea
Hata Madrid walihisi kaisha but ilikuwa wrong
Mosi,Casemiro hana speed ya EPL nimemtazama mara kadhaa sioni akiwa msaada mkubwa msimu huu.
Pili,sijawahi hata mara moja kumwaminiLindelof sijui kwanini kila akiwemo uwanjani nakosa imani.
Tatu wengine nakubaliana na wewe 100%.
We ushachezea 6 mara ya pili na haohao sasa Bora Nani?Bora hata sisi tuligusa kanyavu mkuu.View attachment 2380339
