Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mosi,Casemiro hana speed ya EPL nimemtazama mara kadhaa sioni akiwa msaada mkubwa msimu huu.
Pili,sijawahi hata mara moja kumwaminiLindelof sijui kwanini kila akiwemo uwanjani nakosa imani.
Tatu wengine nakubaliana na wewe 100%.
Lindelof yupo hapo kwa sababu Varane hayupo..au unataka nani acheze ikiwa VARANE is not available"doubtful"
 
Kosi la ushindi kabisa.
Screenshot_20221009-190201.jpg
 
Tusiwe na shaka wana man u hilo goli litarudi.. everton 1 man u 0 dk ya 07
 
Mosi,Casemiro hana speed ya EPL nimemtazama mara kadhaa sioni akiwa msaada mkubwa msimu huu.
Pili,sijawahi hata mara moja kumwaminiLindelof sijui kwanini kila akiwemo uwanjani nakosa imani.
Tatu wengine nakubaliana na wewe 100%.
Casemiro vurugu za EPL haziwezi.
 
Back
Top Bottom