Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kutoka ndani ya moyo wangu..I feel pity for Ronaldo
Alitakiwa awe na goli zaidi ya 3 leo kwa jinsi ambavyo ametengewa...kapewa dakika zote leo kachemka...
Na assist zake 2 leo angeng'ara sana!!!

Tukiachana na Ronaldo hivi hii timu si ilitakiwa ife kwa zaidi ya goli 5??
Kila mechi BP juujuuuu mashabiki tutarelax lini??
 
Kama tuko serious, january tuchukue huyu kinda

Acheze kama CF au F9

Mpaka sasa mechi 15 ana magoli 12 na assists 10.
20221007_134717.jpg
 
Mabadiliko sio kitu cha siku moja, na pia yanahitaji subira sana
Man city ametumia muda kidogo kujijenga mpaka pale alipofikia
As well as Liverpool ametumia muda kidogo kukijenga kile kikosi kilichosumbua misimu mitatu nyuma
Sidhani kama CR7 anahitaji kuondoka man u kwa sasa kwani ni aina ya mchezaji mwenye uzoefu wa mafanikio kwenye team,
Kikubwa man u ni kuwa na msimamo na ku focus sehemu tunazokosea ili kuweza kufanya marekebisho,
Hali kadhalika pesa itumike kwa vijana wanaoelewa kandanda na si mafamba yaliozeeka

Mfano man city anakikosi bora sana, kiasi kwamba wachezaji kama sterling na jesus hawana nafasi kwake but wanapata arsenal na chelsea, hii ni kutokana na usajili makini wa vijana wenye uwezo na uwekezaji wake kwa wachezaji
 
Back
Top Bottom