Eraldius
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,122
- 912
Kwakikosi hiki na mashindano, kweli tumevurugwaKama tupo serious sana leo yani.View attachment 2378983
Kwakikosi hiki na mashindano, kweli tumevurugwaKama tupo serious sana leo yani.View attachment 2378983







Tulinlilia misimu kadhaa mpaka nikawa nashangaa kwanini yeye yu na si wengineSancho toka aje ana goli sijui 3. Antony kaja juz anazo mbili tayar.
Sancho ni hasara
Hata huyu Anthony Ni swala la muda, tatizo sio magoli, je ana output ya kuwafanya mabeki wamuogope?Sancho toka aje ana goli sijui 3. Antony kaja juz anazo mbili tayar.
Sancho ni hasara
Yani ni za Ukerewe huko,inasikitisha snTimu zinazotufunga sasa!
Better off rashford kuliko sancho.Hata huyu Anthony Ni swala la muda, tatizo sio magoli, je ana output ya kuwafanya mabeki wamuogope?
Mpira wa kisasa wanaangalia vitu vingi , sio magoli tu
Ikumbukwe Sancho, Martinez na Anthony wote wamesajiliwa kwa shinikizo la mashabikiSancho toka aje ana goli sijui 3. Antony kaja juz anazo mbili tayar.
Sancho ni hasara