Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,144
- 43,875
Martial hajamlalamikia Ole sababu anachezeshwa majeruhi, bali ni kwamba alicheza na majeruhi 20/21 na hakupangwa 21/22. amesema anafeel kama "treachery" hili neno linamaanisha Betrayal of trust kwamba unamuamini mtu lakini hatimizi kile ambacho ulikuwa unakitegemea.Anasema alikuwa anachelazimishwa kucheza huku ana majeraha, then anakuwa victim wa kulaumiwa na mashabiki kwamba hajitumi uwanjani, na OLE hachukui hatua yoyote ya kuelezea ukweli.
Hakuna top players ambaye hachezi na majeruhi.




#MUFC #maguire
