Jitahidi kuongea facts maana siku zote kwenye ukweli uongo hujitenga, nyie lile goli lenu halikua la Haki kabisa sababu Erikson alichezewa faulo. So wew nijibu bila ushabiki ile kwa Martinez ni penati au sio penati bila kuweka mahaba.Muosha huoshwa...nyingi mlibebwa hivihivi jumapili Ile mkapata ushindi wa mchongo Leo mnalalamika......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]goes around,comes around
Tulibebwa kivipi nipende tu kusema arsenal mlicheza mpira mzuri lakin bahati haikuwa kwenu.Muosha huoshwa...nyingi mlibebwa hivihivi jumapili Ile mkapata ushindi wa mchongo Leo mnalalamika......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]goes around,comes around
The same to man unitedTulibebwa kivipi nipende tu kusema arsenal mlicheza mpira mzuri lakin bahati haikuwa kwenu.
Sawa, ila Mimi sikuona serious faul ya kukataa like goli cz ilikuwa very soft maana hakukanyaga SEMA kulikuwa na body contact ambyo ni very normal ktk football ,kamà Ericksen hàtaki kuguswa angecheza PS[emoji23] tuJitahidi kuongea facts maana siku zote kwenye ukweli uongo hujitenga, nyie lile goli lenu halikua la Haki kabisa sababu Erikson alichezewa faulo. So wew nijibu bila ushabiki ile kwa Martinez ni penati au sio penati bila kuweka mahaba.
Mkuu unavituko kwamba acheze ps😁 aya sawa.Sawa, ila Mimi sikuona serious faul ya kukataa like goli cz ilikuwa very soft maana hakukanyaga SEMA kulikuwa na body contact ambyo ni very normal ktk football ,kamà Ericksen hàtaki kuguswa angecheza PS[emoji23] tu
SawaKwa kikosi hiki ushindi mtamu mtamu. Anton atapenda kuendeleza makali. Casamiro, Eriksen na Fred patamu sana hapo. CR7 atatoa onto kucheza Europa, kwamba siyo size yake. Maguire na Linderlof hope watakuwa makini leo.
Tupo msibani tafadhaliNyie nyumbu kujeni hapa [emoji23]
Msiba wa Malkia hauwahusu.
Mje hapa,hatujasahau Jana Mmepigwa kimoja.
Wamewabandua😂Tupo msibani tafadhali
Mkuu ilikuuma sana sisi kuwabandua? Mbona sio mara ya kwanza nyie kutupa penzi?Kipofu aliona mwezi mkabahatisha mkatupiga,badi mkaona mmeruuudi
Kumbe hakuna kitu🤣🤣🤣
Structure imefanyaje mkuu ?Structure
Structure
Structure