radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Tumpe Tuchel kazi under 18 pale Carrington wazee au mnasemaje?
Anapenda mabeki yule
Tumpe Tuchel kazi under 18 pale Carrington wazee au mnasemaje?
Kwa kikosi hiki ushindi mtamu mtamu. Anton atapenda kuendeleza makali. Casamiro, Eriksen na Fred patamu sana hapo. CR7 atatoa onto kucheza Europa, kwamba siyo size yake. Maguire na Linderlof hope watakuwa makini leo.Kosi la ushindi ili japo hawa jamaa ni wagumu kweli.View attachment 2350538
Nadhani Zitachezwa na vitambaa mkononi na dk kadhaa mwanzoni sala fupiHuu msiba wa Queen mechi zitachezwa weekend hii kweli?
Aiseeeh yani Maguire tena?Kosi la ushindi ili japo hawa jamaa ni wagumu kweli.View attachment 2350538

First half hatujaccheza Vizuri ngoja tuone second half, namini ten hag atakua ameona makosa atayasahihisha.Yani hiki kikosi cha leo wachezaji kupiga pasi za kawaida tu hawawezi.



Mnaongozwa mojaTunaongoza ngapi huko wadau?
