United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,237
- 6,604
achana na mpira kajadili ngono na maskrepa ya kivita ya Ukraine na Russia[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 2352924
achana na mpira kajadili ngono na maskrepa ya kivita ya Ukraine na Russia[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 2352924
Anasemaje huyo kijana mzembeMartial Kafunguka, kumbe ka OLE kalikuwa kajinga sana.
unaweza ukafanya compilation ya CB wowote ukatoa majibu mazuri na mabaya, it means nothing, naangalia almost mechi 38 za ligi sihitaji kuangalia short video kum judge mchezaji wa man U.Chief-Mkwawa njoo umuone modern CB wako. Anayeweza kupiga pasi
Anasema alikuwa anachelazimishwa kucheza huku ana majeraha, then anakuwa victim wa kulaumiwa na mashabiki kwamba hajitumi uwanjani, na OLE hachukui hatua yoyote ya kuelezea ukweli.Anasemaje huyo kijana mzembe
Maguire bhn nmecheka sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Binafsi naamini hata madai ya Eric Bailly kuhusu upendeleo kwa wachezaji wazawa chini ya Ole.Anasema alikuwa anachelazimishwa kucheza huku ana majeraha, then anakuwa victim wa kulaumiwa na mashabiki kwamba hajitumi uwanjani, na OLE hachukui hatua yoyote ya kuelezea ukweli.
obviousBinafsi naamini hata madai ya Eric Bailly kuhusu upendeleo kwa wachezaji wazawa chini ya Ole.