Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,083
- 12,325
% kubwa hapo ni waafrica watupuSheriff ina black wengi kweli kweli
% kubwa hapo ni waafrica watupuSheriff ina black wengi kweli kweli
RonaldoooooMpira umepoa kama uji wa mgonjwa
Hapo kuna bao zaidi ya tano.Ronaldooooo
Hii team imeshawapiga Real Madrid sema leo Man kawa seriousHii timu Dicson Job na Feitoto wanaanza kikosi cha kwanza.
sure.Mpira umepoa kama uji wa mgonjwa
Huyu ronaldo jau sana aisee... akubali tuu asaafu kwa heshima huko tunakoelekea anatafta fedhehaKikosi cha leo kipo serious kidogo aise labda ronaldo azingue pale mbeleView attachment 2358002
Kabisa.Huyu ronaldo jau sana aisee... akubali tuu asaafu kwa heshima huko tunakoelekea anatafta fedheha.
Unataka kumfananisha na yule Mwamba Milner 😂😂😂Huyu ronaldo jau sana aisee... akubali tuu asaafu kwa heshima huko tunakoelekea anatafta fedheha
mkuu, unaangalia mpira kweli?Pira biriani hadi raha Dunia nzima wanafurahi.
mkuu, unaangalia mpira kweli?
sijakuuliza ngapi ngapi.Kabisa bao mbili hadi muda huu.