Source?Glazers wapo tayari kuiuza timu kwa dau la £3.75B. Emeirates wa Dubai wapo tayari ku-takeover.
huwezi hamini mechi 2 za mwanzo tulikuwa nafasi ya 20Dah namna tulivyoanza ligi sikuwaza inaweza baki point tatu kuwa kileleni.
Hamna soka la bure. Na hakuna tajiri ana invest pesa zake for nothing. HayupoUzuri wa waarabu hawana pesa za mawazo sababu mpira kwao ni burudani nasio Biashara Kama mitajiri mingi ya kizungu.
Ndio Hilo ckatai lakin matajiri wa kiarabu Ni tofauti nawakizungu, mfano mzuri nikwamahasimu wetu wa liverpool. Hivi hao matajiri na wamiliki wa liverpool huoni upumbavu walioufanya kumwachia Sergio mane kisa anademand kuongezewa mshahara.Hamna soka la bure. Na hakuna tajiri ana invest pesa zake for nothing. Hayupo
Alipiga pass outer Fulani dah moyoni nikajisemea laiti huyu jamaa angekua mchinjaji angekua katili sanaNimeitazama tena game ya jana...Aise ile pass ya Bruno Fernandez kwenda kwa Rashid ni ya kiwango cha namna yake.
Ile pass ingepigwa karne ya 17 huko, ingetosha kabisa kuzuia biashara ya utumwa...Dah! What a pass!!!?
Mkuu mambo vipi,ushajiunga kule epl supporters?
Ni wapi huko na tunajiungaje mkuu.Mkuu mambo vipi,ushajiunga kule epl supporters?
Nambie jina nikuchek private tusalimiane
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Mkuu naona kama wewe unauelewa kuhusu ile fantasy hebu tutoe tongotongo mimi sijui kitu yani naona mapicha picha kuhusu fantasyMkuu mambo vipi,ushajiunga kule epl supporters?
Nambie jina nikuchek private tusalimiane
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Tofauti ipo ila ni ndogo sana ya matajiri wa kizungu na waarabu. Tofauti ni priority.Baada ya kufanya vizuri liverpool wakaona hata wakiuza major player wataweza kuziba pengo lake.Ndio Hilo ckatai lakin matajiri wa kiarabu Ni tofauti nawakizungu, mfano mzuri nikwamahasimu wetu wa liverpool. Hivi hao matajiri na wamiliki wa liverpool huoni upumbavu walioufanya kumwachia Sergio mane kisa anademand kuongezewa mshahara.
Na ukiangalia mane amechangia pakubwa katika mafanikio ya hivi Karibuni kwa Liverpool, Sasa jiulize why wagome kumwongezea mshahara hivi huoni Ni upumbavu kiasi gani walionao hao wazungu wamiliki wa liverpool yaan mane alikua anazidiwa mshahara Hadi na keita. Afu jiulize Kati ya keita na mane Nani alikua na mchango mkubwa kwa klabu.
Nabado alikua na mapenzi na klabu angalia now yupo Bayern anachokifanya nibora angekua kaflop apo ingekua sawa.
Dah
Halikua na Baraka ya clop hata kidogo na huyo clop mwenyewe iposiku atashindwa vumilia na kuondoka.Tofauti ipo ila ni ndogo sana ya matajiri wa kizungu na waarabu. Tofauti ni priority.Baada ya kufanya vizuri liverpool wakaona hata wakiuza major player wataweza kuziba pengo lake.
Yaan hawatopata shida, ( japokuwa sijui kama hili lina baraka za clop)
Sidhani kama walishindwa kumuongezea mshahara ila waliona watapata pesa zaidi kama wakimuuza.
Once again its down to views za matajiri
Na mabadiliko ya soko yakoje.
Hao wamiliki ni kituko Sasa pengo la mane kujakuliziba watastrugle sana niseme bado niwapumbavu cjaona sababu ya msingi ya wao kumuuza.Tofauti ipo ila ni ndogo sana ya matajiri wa kizungu na waarabu. Tofauti ni priority.Baada ya kufanya vizuri liverpool wakaona hata wakiuza major player wataweza kuziba pengo lake.
Yaan hawatopata shida, ( japokuwa sijui kama hili lina baraka za clop)
Sidhani kama walishindwa kumuongezea mshahara ila waliona watapata pesa zaidi kama wakimuuza.
Once again its down to views za matajiri
Na mabadiliko ya soko yakoje.
Hii kweli TBT...hapo Giggs anatuaminisha kuwa James ni bonge la winga tumpe muda..WTF
Mwanaume unafutalia epl harafu hujui fantasy premier leagueMkuu naona kama wewe unauelewa kuhusu ile fantasy hebu tutoe tongotongo mimi sijui kitu yani naona mapicha picha kuhusu fantasy
Scot ameimprove sana recently ana offer energy ya kutosha uwajaniCasemiro kwa nini kocha hampangi..he is not fit au nini hasa?..
Hapo katikati sijapaelewa..
Anyway,GGMU
Nilikuwa nimeielewa japo kidogo nilitaka tu uthibitisho tu kama kweli kuna mchele au story shukrani mkuu.Mwanaume unafutalia epl harafu hujui fantasy premier leagueSasa msiwe mnawalaumu makocha ,maana hata kucheza fantasy hamuwezi ....
Kiufupi mkuu fantasy Premier league unapewa £100million unasajili wachezaji wa epl kutoka timu za epl 20 unazozijua wewe .... goalkeeper 2 ,beki 5 , midfielders 5, na forward 3 ...kwa hio pesa haitakiwi kuzidi hio Hela ..wachezaji wanakuwa sokon kwa bei zao kina salah ,kdb ,haaland ,mount ,Kane ,son .....wote...
Harafu weekend ikiwa inacheza epl unapanga kikosi ,then kuna rate na point unazopata kulingana na performance ya mchezaji ....!
Kuna fantasy Kila mwisho wa mwezi mshindi wa kwanza mwenye point nyingi anapata 400k,wa pili na tatu wanapata chochote ....
Kama unajua kupanga kikosi na upo vzuri unaweza kucheza kuanzia week ijayo epl ikirudi .....
Pia kuna fantasy kwenye uefa ...uefa inaanza kesho so ni wewe tu japo hii Haina watu wengi .....
Mfano hiki ni kikosi changu ,nasubili week ijayo kuvuna point
View attachment 2346768