D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
Bajeti iliyowekwa mwezi Mei ilikua ni £120m hata kama ilitegemeana na abadiliko ya soko lakini bada ya kupoteza 4-0 viongozi walielewa kuwa Ten Hag alihitaji msaada mkubwa ili kumsaidia aweze kufanikiwa



