D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
NO COMMENT4.Ronaldo
NO COMMENT4.Ronaldo
Hivi wewe huyiogopi Chelsea wewe?Koulibaliy Anavyoshika watu![]()
Namuona Rashford akiongezewa mkataba, kama akiondoka Heaton, Jones, Shaw, Bissaka, Tuanzebe na kuna uwezekano tukamuuza Williams tutabakiwa na homegrown players watano na katika sheria za FA lazima tuwe nao angalau 8.June 2023 wachezaji wafuatao watakuwa out of contract.
1.Rashford
2.Phil Jones
3.Fred
4.Ronaldo
5.Shaw
6.Diogo Dalot
7.Tom Heaton
8.De Gea
And to be honest mimi nitambakisha tu De Gea tena kuwa golikipa namba mbili na kwa mshahara wa chini..wengine wote ningefagilia mbali.
How about you?
Akiongezewa mkataba kwako itakuwa sawa tu sio??NO COMMENT
Nikimuangalia namkumbuka Patrice EvraMalacia yuko vizur anajua kumiliki mpira shaw yeye mbio tu
Yap dogo akijitahidi atafika mbali
Defence kuna umoja..hata mmoja akilala wengine wanacover fasta..Ndo spirit tunayotaka.So far kuna improvement kwenye defence ya United,partneship ya Martinez & Varane wamekuwa wanaelewana sana na wanajipanga vizuri na defence yote (back four) wamekuwa unit ,mmoja akifanya kosa wenzake wanawahi ku-clear .Only weakness kwenye defence ni Dalot na amekuwa ana-improve na wenzake wanamsaidia .Casemiro akishasettlle huenda katikati patatulia Erikson akisogea mbele tuweze ku-dictate midfield na ku-create more chance
Ikiwa atakubaliana na uamuzi wa mwalimu wa kumhukumu kwa mujibu wa kiwango chake na si umaarufu wake.Akiongezewa mkataba kwako itakuwa sawa tu sio??
Na mtamwaga dam kweli sio kwa vichapo mtavyo pokeaSkizeni nyie takataka ..mumeona usajili tulofanya? Nani ayiogopi Chelsea hahahaha nacheka uku naogopa ..maana tunaenda kumwaga damu EPL ..hahaha aise mutupe kombe letu tu Yani![]()


Hukuangalia mechi halafu unashangaa ericksen kuwa man of the match unashangaa SanaKwa jana sikuangalia game ya united kwa utulivu wa kutosha lakini kwa kiasi fulani Mctominay amecheza vyema ukilinganisha na zama za Ole. Na sio hapo tu,tangu game ya Liverpool na Soton dogo ameongeza kujiamini kwenye umiliki wa mpira,anaachia mara moja na anacheza rafu zenye akili kidogo.
Naomba siku ambayo Case atatulia kwenye timu,tuone combo yake na Fred the Red (yaani kuihamishia anchor ya Brazil United). Kwangu mimi hii itawezekana endapo mwenendo wa Bruno utaendelea kuwa wa kubahatisha kama wadau wengi wanavyopiga kelele dhidi yake kwa sasa,hivyo itakuwa mid 3 ya fred,case na eriksen.
Mbali na Maguire,wadau tumemsahau mapema sana the ice man Lindelof. Nilipenda kuona pacha yake na martinez in case varane pancha zikianza kumrudia ili kuwa na uhakika kuwa maguire hatarudi uwanjani hivi karibuni.
Katika defense,martinez ndio kabadilisha kila kitu hivyo nategemea kuona ubora wa lindelof anaouonyesha akiwa na timu yake ya taifa,sweden pindi watakapocheza pamoja.
Kwa game ya jana,sikujua kwanini Eriksen kawa man of the match. Mwenye uelewa anisaidie tafadhali.
Amesema aliangalia mechi, tena kwa utulivu, ila si utulivu wa kutosha.Hukuangalia mechi halafu unashangaa ericksen kuwa man of the match unashangaa Sana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kaka endelea kutuombea Mungu atuinue tena.....siku nabeba epl aseee lzm nitoe sadaka ya shukurani kwa baba muumbaMan chester kwa sasa mpo vizuri. Naamini mtaendeleza ushindi kadri kocha atavyoendelea kuzoea Ligi. Kama mnakumbuka Gadiola alivyokuja Epl alipigwa kipigo heavy na Lescister City mpaka suruali ilitaka kudondoka akachapwa tena Everton kipigo kweli kweli.
So hata ten hang amekaribishwa ipasavyo Epl. Lakini sasa ameanza kuimili Ligi![]()
Arsenal baba yao Ronaldo tu akisimama pale mbele hakuna Gabriel wala Black sijui Tierney, ni mauchafu yamejaa pale nyuma.
Arsenal wameruhusu magoli mengi sana, eneo ambalo wapo vizuri ni kwenye ushambuliaji na hili tatizo ni kuwawekea Casemiro na Fred halafu nyuma ya hao watu kama kawaida The Butcher na Champions League Varane.
Arsenal anapasuka siyo chini ya magoli matatu.
Na alipigwa kama ngoma.Jimmie Vardy haamimi kama kavamia mtumbwi wa vimbwengo kwa mbele