D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
Erik ten Hag was the key voice in allowing James Garner to leave. He judged Garner not at the level to play every week.
Laurie whitwell
Laurie whitwell
Una nn MkuuMechi za mchana.
Fulham 2 Liva 2
Wolves 0 Totte 1
South 0 Man Utd 1
Everton 0 Liverpool 0
Mechi ijayo ya mchana
14:30 Fulham ? vs Chelsea?
Kitu kamba.We Mandonga kumbe upo.! Habari yako aisee?
Nakushauri siku ya mechi, uwe karibu na kopo la panaldo.Hiyo jumapili mtapoteana mapema humu kwa huu ushindi wenu wa papatu papatu
FreddyJune 2023 wachezaji wafuatao watakuwa out of contract.
1.Rashford
2.Phil Jones
3.Fred
4.Ronaldo
5.Shaw
6.Diogo Dalot
7.Tom Heaton
8.De Gea
And to be honest mimi nitambakisha tu De Gea tena kuwa golikipa namba mbili na kwa mshahara wa chini..wengine wote ningefagilia mbali.
How about you?
Tushawapeni kombe la gahawa, kachukueni kwa mzee Jaah pale mwembe hanga.Skizeni nyie takataka ..mumeona usajili tulofanya? Nani ayiogopi Chelsea hahahaha nacheka uku naogopa ..maana tunaenda kumwaga damu EPL ..hahaha aise mutupe kombe letu tu Yani![]()
Oyah, bro, nimecheka mpaka watu wananishangaa.Ollachuga oc baada ya mechi na west ham jumamosi.View attachment 2343261
Greenwood ngumu sana kurudi mkuu.Chief-Mkwawa kwa sababu anthony amepewa jezi namba 21 je kuna uwezekano greenwood akarudi?
Na kesi yake pia inaendeleaje?
Wangempa tu Antony namba 11Greenwood ngumu sana kurudi mkuu.
Na yupo nje kwa dhamana, hizi kesi zinachukua miaka kuisha.