Malacia yuko vizur anajua kumiliki mpira shaw yeye mbio tuIla kiukweli na kimpira shaw anamzid malacia.
Babu dua gani tena hilo?Huyu jamaa mimi natamani hata avunjwe tu miguu ijulikane moja![]()
Unadhani kocha anafurahia kumpanga Elanga? Hakuna anayejivunia kuwa na kikosi kama kile ila ndiyo wachezaji tulionao. Acheze nani sasa?Huyo Fred nae ni Mchezaji WA kujivunia kweli ?
Kweli Manchester tumeflop
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sio kweli kabisa hata kocha ungekuwa wewe huwezi kumuweka benchi Malacia the modern left back ukampanga Shaw muingereza, jibu lako tu ni kwamba angalia kwa sasa mashambulizi yanapitia wapi.Ila kiukweli na kimpira shaw anamzid malacia.
Fred, Elanga, Mctomy, Maguire, na Rashford wote hao chini ETH hawatokuwa na namba. Kocha anayajua matatizo ya man u ukiacha uongozi pia kuna wachezaji co wakuchezea timu kubwa kama utd, ni kweli ni wazuri ila co world class players, hawawezi pressure ya timu kubwa ndiyo maana unaona wanazingua. Hao level yao ni Arsenal, Tottenham, Aston villa na the likes of that.Unadhani kocha anafurahia kumpanga Elanga? Hakuna anayejivunia kuwa na kikosi kama kile ila ndiyo wachezaji tulionao. Acheze nani sasa?
Kume jana tumeokoa pointi 3?
Kibosi basi.
Kituo kinacho fuata si Arsenal jamani?
Hamuamini macho yenu kwamba utd imerudi, mm nilipoona mechi za kwanza kwanza tumefungwa nikaona tu huu ni mwanzo mzuri kwa kocha mpya.Hiyo jumapili mtapoteana mapema humu kwa huu ushindi wenu wa papatu papatu
Tunatunza risitiHamuamini macho yenu kwamba utd imerudi, mm nilipoona mechi za kwanza kwanza tumefungwa nikaona tu huu ni mwanzo mzuri kwa kocha mpya.
Hoja makiniHamuamini macho yenu kwamba utd imerudi, mm nilipoona mechi za kwanza kwanza tumefungwa nikaona tu huu ni mwanzo mzuri kwa kocha mpya.
Mtamkataa mapema sana huyo jamaa yenu mpya.Hamuamini macho yenu kwamba utd imerudi, mm nilipoona mechi za kwanza kwanza tumefungwa nikaona tu huu ni mwanzo mzuri kwa kocha mpya.
Tulia tukunyooshee Arsenal jumapili. Anajitetea ana unbeaten record wakati kakutana na average teams
Siku zote ni bora kuwa na mwanzo mbaya ili mwisho uwe mzuri.kidogo now napata hata amani ya kuangalia mechi za timu yangu pendwa man u.Hamuamini macho yenu kwamba utd imerudi, mm nilipoona mechi za kwanza kwanza tumefungwa nikaona tu huu ni mwanzo mzuri kwa kocha mpya.
Mara Mia acheze Gernacho kuliko elanga.Unadhani kocha anafurahia kumpanga Elanga? Hakuna anayejivunia kuwa na kikosi kama kile ila ndiyo wachezaji tulionao. Acheze nani sasa?
Fred bado ana Kitu mguuni,,,, !!! Ni box to box mzuri,,, tatzo watu wanaomzunguka wanamuangusha anaonekana kiazi !!!!!June 2023 wachezaji wafuatao watakuwa out of contract.
1.Rashford
2.Phil Jones
3.Fred
4.Ronaldo
5.Shaw
6.Diogo Dalot
7.Tom Heaton
8.De Gea
And to be honest mimi nitambakisha tu De Gea tena kuwa golikipa namba mbili na kwa mshahara wa chini..wengine wote ningefagilia mbali.
How about you?