King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,093
- 5,317
Hata mie degea naona anastahili kubaki pia na babu Ronaldo kwa mkataba wa mwaka mmoja mbele.June 2023 wachezaji wafuatao watakuwa out of contract.
1.Rashford
2.Phil Jones
3.Fred
4.Ronaldo
5.Shaw
6.Diogo Dalot
7.Tom Heaton
8.De Gea
And to be honest mimi nitambakisha tu De Gea tena kuwa golikipa namba mbili na kwa mshahara wa chini..wengine wote ningefagilia mbali.
How about you?

