Zuckerman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 1,432
- 2,533
Kikosi kizuriDe Gea
Dalot Varane Martinez Malacia
Casemiro Eriksen
Sancho Bruno Rashford
Ronaldo
Kikosi kizuriDe Gea
Dalot Varane Martinez Malacia
Casemiro Eriksen
Sancho Bruno Rashford
Ronaldo
HIKI kikosi mkipanga jp2 mnakufa first halfDe Gea
Dalot Varane Martinez Malacia
Casemiro Eriksen
Sancho Bruno Rashford
Ronaldo
Hawa Leicester wameihangaisha Chelshit juzi kati hadi Chelshit wakashinda kimchongo...
Leo wanaenda kuwabamiza nje ndani hawa nyumbu.



labda kama hao Leicester wamemsajili Sadio Mane, ila kwa Manunu hawatoboi.Jumapili kikosi ni hichohicho ila hapo kwa Rashidi unatoa anakaa Antony halafu mnakula nyingi kama zile za mwaka 2011HIKI kikosi mkipanga jp2 mnakufa first half
Screen shot table kabla ya jumapili, ndiyo mwisho kukaa namba 1 hadi ligi inaisha.HIKI kikosi mkipanga jp2 mnakufa first half
We subiri utaonalabda kama hao Leicester wamemsajili Sadio Mane, ila kwa Manunu hawatoboi.
Unaionaje game chief?Matchday.
GGMU
Inabidi tuwachakaze sana hawa vibonde.Arsenal wanapaswa kupigwa kuanzia 3 kuendelea. Wameanza msimu kwa vibonde wanajiona wameshabeba EPL.
Jumapili tunawarudisha kwenye default settings.
Hizi namba ndio zilifanya arse8 tuwaite hivyo arse8??🤣🤣🤣🤣Jumapili kikosi ni hichohicho ila hapo kwa Rashidi unatoa anakaa Antony halafu mnakula nyingi kama zile za mwaka 2011View attachment 2342243
Rescue plan, practized hizi mechi mbili za mwisho + today probably.Mbona Martinez anapiga pasi ndefu





Tulia kwanza Leicester akunyooshe kabla hujaenda kuuawa pale ot jumapili.Arsenal wanapaswa kupigwa kuanzia 3 kuendelea. Wameanza msimu kwa vibonde wanajiona wameshabeba EPL.
Jumapili tunawarudisha kwenye default settings.
Mtachonga sana nyie underdogs mpaka mfe wakati arsenal anabeba makombe yote miaka kumi mfululizo.Leo pigweni ili jumapili mkate vile vidomo domo vya wale ma chali wa arse8.
Kila la kheri Leicester 👊👊
Loan au?