The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
40+ epl only.Haaland kwa mwendo huu goli 40 za EPL msimu huu zinanukia..
40+ epl only.Haaland kwa mwendo huu goli 40 za EPL msimu huu zinanukia..
Mbona Martinez anapiga pasi ndefuHuyu cocha hataki long passes.



4:00 usiku

Incomings ??
Outgoings ??Unapata wapi ujasiri wa kusema hivyo?Manyumbu yakicheza mashabiki wake wote ulimwenguni wanapita uku wakitingisha wowowo





Tutapiga mtu kama Ngoma. Leicester hamna bahati kukutana na sisi kipindi hikiLeicester city tunakula karanga mbichi
![]()
Timu lina gunduEric Bailly naye tumeshindwa kumuuza..hadi aende kwa mkopo..
Daah,United hii..wachezaji hawauziki
Furaha itageuka kilio.Siku ya furaha ni leo,Ni leo wakati wa furaha ni sasa ni sasa,Ndugu yangu furahi hata mimi nafurahi maana furaha yaja.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Leicester city 1 Manchester united 3
4:00 usiku
#GGMU
View attachment 2341543
Mimi nasubiri tu ifike 22:00, leo siangalii mpira kibanda umiza.. nitaangalia mpira ndani ili niweze kuwacheka vizuri humu nyumbu wakigongwa!Furaha itageuka kilio.
Nyie nyumbu hamtoboi Kwa Leicester.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hawa Leicester wameihangaisha Chelshit juzi kati hadi Chelshit wakashinda kimchongo...Mimi nasubiri tu ifike 22:00, leo siangalii mpira kibanda umiza.. nitaangalia mpira ndani ili niweze kuwacheka vizuri humu nyumbu wakigongwa!
😀 ila we chalii unavimaneno vya kukera sana.Manyumbu yakicheza mashabiki wake wote ulimwenguni wanapita uku wakitingisha wowowo
Watakuwa wameshafukua tayari.Ya kweli haya?
Yanaingia akilini?
--------
Mathias reveals his brother Paul Pogba buried a hyena in the center of Old Trafford weeks before leaving, Martial witnessed it and immediately got injured. Investigations continue.
[ @CNews ]
Kwamba ule uwanja hauna cctv au?Ya kweli haya?
Yanaingia akilini?
--------
Mathias reveals his brother Paul Pogba buried a hyena in the center of Old Trafford weeks before leaving, Martial witnessed it and immediately got injured. Investigations continue.
[ @CNews ]