Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tungefungwa sasa ungeongea mengine. [emoji23][emoji23][emoji23] Peleka upuuzi wako huko.
 
Matatizo nimeona ni midfield kisheti, tukitulia kwenye middle bas.

Lkn pia magiure amefeli. Tena kapten noway, ukiangalia mech alizocheza ameboringa vby mno. Ajabu makocha wanamuweka wanamuacha Bailly?? Kweli??
Hapo kwa Magwaya nakazia.
Jamaa ni tatizo nae pia, chaajabu wanatolewa kafara Bailey na Lindelof.
 
Labda wanatuona gari la mshaara.
 
Naunga mkono hoja.
Arsenal ni kama baiskeli ya barafu juani, ikikupita iache tu, utaikuta mbele ime yeyuka.
 
Naunga mkono hoja.
Arsenal ni kama baiskeli ya barafu juani, ikikupita iache tu, utaikuta mbele ime yeyuka.
Labda Kama mnaongea kishabiki hamfatilii epl ,ndio maana mnampa had ubingwa spursy kwa ule Mpira makande,

Ndio nyie mnaiona chelsea ya Rahim na kai kubeba epl

Arsenal toka msimu uliopita tulishaanza kuweka standard kwa hizi middle teams hatutaki zituzoee, ndio maana Kuna Kauli mlikuwa mnasema Arsenal anazifunga timu ndogo tu, msimu huu tume raise standard , Hawa kina palace ,Fulham, soton, Aston Villa ,n.k tunataka waache point ,halafu tutaona nini kitatokea,

Kingine Depth ya squad tunaiongeza ,

kwahiyo msiishi kwa kukariri ,
 
Arsenal inayoanza ligi kwa mbwembwe za ushindi hua haitoboi kwenye top4.
Arsenal have won their opening three games of a Premier League season for only the third time - 2003-04, 2004-05 and 2022-23.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…