Kwa hiyo mnafungwa kwa sababu timu Ina madeni aliyekwambia kwamba hizo timu nyingine hazina madeni ni nan?Glazers ni moja ya matatizo ya United. Pesa yote unayoona inanunua wachezaji ni pesa inayotokana na mapato ya timu. On top of that Glazers waliinunua United baada ya kuchukua mkopo na deni lake wakalihamishia kwenye timu. Bado wakaona haitoshi wakaiweka Manchester United kwenye soko la hisa la NYSE, miezi michache nyuma walichukua gawio lao wakaweka mfukoni.
Budget inayowekwa kusajili wachezaji ni pesa timu inayotengeneza na siyo uwekezaji wa Glazers hata senti 5. Wao ndiyo wameweka structure za kusajili wachezaji wenye majina au ushawishi mkubwa ili timu ipate mapato zaidi bila kujali timu inafanya nini uwanjani.
Glazers ni tatizo kubwa sana kwa United walinunua timu ikiwa haina deni hata la sh 1. Sasa hivi wameibebesha mzigo wa madeni na bado wanachukua pesa kutoka kwenye timu, bado pia hawataki kununua wachezaji kwa wakati wanapohitajika pamoja na pesa yote timu inayotengeneza timu ni kwasababu mapato mengi wanachukua wao.
Wanavyoiendesha timu hao Glazers tajiri yoyote anaweza kufanya, Manchester United inajiendesha lakini inahitaji mtu mwenye mapenzi na timu, biashara ni sehemu ya football lakini wanachofanya Glazers ni kuitumia United kwa faida zao binafsi.
Maneno ya Mourinho, van Gaal na Rangnick yataishi milele.
Degea akiendelea kubak golin ntashangaa sana anatakiwa akae bench ajitafakari
Umeongea kwa masikitiko makubwa sana. United kwa sasa mnapitia njia walizopita Liverpool na kina Milan. Mnahitaji muda kujenga timu itakayoweza kushinda na vilabu vikubwa barani ulaya. Na hii inahitaji muda. Lakini ile tabia ya kusainisha makocha afu muda mfupi mnawafukuza hamtaweza kuijenga timu yenu. Kwa mfano, huyu ETH tayari kaja na mfumo wake toka pale ajax. Na anaamini kwa % nyingi mchezaji aliyepitia pale ajax anaweza kumtumia na kupata mafanikio. Ndio maana anawajaza pale.Hivi ni kweli glazer ndo tatizo pale united??
Mbona kama ni hela wamemwaga sana.
Wote hawa tumenunua kwa bei za kutisha.
Maguire
Pogba
Sancho
Shaw
Martinez
Mbona kama ni hela maboss wame mwaga sana pale united maana kazi ya maboss ni kumwaga hela kwa kumwaga hela sisi ni wa pili pale EPL nyuma ya city.
Mimi sioni kama maboss wana tatizo kwenye swala la kumwaga mpunga wametoa hela nyingi sana mpaka tulivunja record ya dunia kwa pogba lakini amna kinacho change.
Tatizo la United linaweza kuwa kubwa kuliko tunavyoona.
Kwaiyo tujiandae tu ndugu zangu ushabiki ni kupenda kitu hata na kwenye shida sio raha tu.
Tukubali tu saizi tumekuwa kama Everton tu tunashiriki ligi ili tufuzu Uefa tu.
Mwanzo kabisa nimeanza kwa kuandika "Glazers ni moja ya matatizo ya United."Kwa hiyo mnafungwa kwa sababu timu Ina madeni aliyekwambia kwamba hizo timu nyingine hazina madeni ni nan?
Kuhusu mfumo Siyo nyie mlisema kuwa yule directing manager wenu aondoke na akaondoka kwa kujiuzulu yaan kila kitu mtakachotaka mashabik mnafanyiwa iwe kuondoa mtu au kuleta mtu
Tangopori la Neville umelichukua zimazima bila kulifikiria
Mpeni team Yusuph bakharesaGlazers ni moja ya matatizo ya United. Pesa yote unayoona inanunua wachezaji ni pesa inayotokana na mapato ya timu. On top of that Glazers waliinunua United baada ya kuchukua mkopo na deni lake wakalihamishia kwenye timu. Bado wakaona haitoshi wakaiweka Manchester United kwenye soko la hisa la NYSE, miezi michache nyuma walichukua gawio lao wakaweka mfukoni.
Budget inayowekwa kusajili wachezaji ni pesa timu inayotengeneza na siyo uwekezaji wa Glazers hata senti 5. Wao ndiyo wameweka structure za kusajili wachezaji wenye majina au ushawishi mkubwa ili timu ipate mapato zaidi bila kujali timu inafanya nini uwanjani.
Glazers ni tatizo kubwa sana kwa United walinunua timu ikiwa haina deni hata la sh 1. Sasa hivi wameibebesha mzigo wa madeni na bado wanachukua pesa kutoka kwenye timu, bado pia hawataki kununua wachezaji kwa wakati wanapohitajika pamoja na pesa yote timu inayotengeneza timu ni kwasababu mapato mengi wanachukua wao.
Wanavyoiendesha timu hao Glazers tajiri yoyote anaweza kufanya, Manchester United inajiendesha lakini inahitaji mtu mwenye mapenzi na timu, biashara ni sehemu ya football lakini wanachofanya Glazers ni kuitumia United kwa faida zao binafsi.
Maneno ya Mourinho, van Gaal na Rangnick yataishi milele.
MagufuliKwahiyo na nyie mmeondokewa na watu muhimu, ni wapi hao?
Wa 4 uyu unazani nani ataliweza sikio la kufa?Huyo cocha sijui atamfunga nani hapo epl kwa mpira wanaocheza Man U,yaani hapo itakuwa kipigo mpaka wamfukuze hapo sijaona mechi ya kushinda huyo hapo epl,
Anauwezo mdogo sana,watu walimpamba tu lakini uwezo hana kabisa huyo epl haiwezi.
Mimi kwa mtazamo Wangu huyo kwa nanmna timu inavyocheza hawezi kushinda mechi yoyote hapo epl narudia tena hawezi kushinda mechi yoyote pale epl .
Kama huyo Laird sijui anakosaje namba aisee. Baily mtu wa kazi hakuna ubishoo.Afanye kama Arteta..mafaza wote walioletwa kimchongo mchongo na flops wote wawekwe benchi..madogo wapewe nafasi..
Heaton
Laird Bailly Varane Malacia
Zidane Savage Eriksen
Pellistri ×××× Garnacho
Ili akili zitukae sawa na Glazer na bodi nzima waelewe kwamba fagiafagia ndo kitu kinachohitajika maeneo yote..tuanze upya.
Mnashiriki ligi ili msishuke darajaHivi ni kweli glazer ndo tatizo pale united??