Bastian Schweinsteiger
Member
- Aug 17, 2022
- 18
- 19
8/10| Casemiro: 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎!
Manchester United are set to sign Casemiro on a permanent deal from Real Madrid, here we go!
Real Madrid have accepted Man Utd official bid for €60m fixed fee plus €10m add-ons, as expected.
Casemiro has full agreement on personal terms with Manchester United on a four year deal with option for further season.
Brazilian midfielder already said goodbye to all his teammates as he will fly to England and complete the medical tests during the weekend.
Casemiro won’t debut on Monday at Old Trafford as visa to be sorted, medical and contract signing will take some time.
How do you rate this signing from 1 to 10?️
View attachment 2328606
UEFA nayo ni farmer's league?Mwl gani mzuri? Hiyo Ajax hata wakikupa wewe unakuwa kocha. Yaani ni hakuna ushindani ile ligue. Kiufupi it's a farmer's league
Huyu casemiro unaambiwa ana uwezo wa kukaba mpka kizazi kisitoke hakika timu la dunia timu bora Dunian tumepata mchezaji GGMU forever![]()




daaahhh we jamaa naona kwenye maisha yako hautaki stress kabisaaaa. Dalot ni takataka
Vipi ulaya kule, nako ni famers league?Mwl gani mzuri? Hiyo Ajax hata wakikupa wewe unakuwa kocha. Yaani ni hakuna ushindani ile ligue. Kiufupi it's a farmer's league
Ngolo kante sio DM, chelsea Dm wao ni Jorginho, kasome vizuri role ya regista utaelewa. Pirlo alikuwa DM miaka yote kuanzia Italy, AC milan hadi Juve si lazima DM awe destroyer kuna mifumo mingi.Binafsi usajiri wa casimiro na man u ya sasa. Naona ni usajiri mzuri kwa kiasi chake
Kama mtakua na kumbukumbu niliwai kusema humu ndani, mnahitaji kiungo mkabaji
Coz hakuna beki duniani akipelekewa moto mara nne mfululizo asipoteane.
Kama casimiro akipiga 6
Eriksen 8
Bruno 10
Kiungo kikiwa sold hayo mengine yatakaa sawa tu
Timu itakua na uhai apo kati kati na beki, hawatakua na pressure sana
Na points zitaokotwa za kutosha tu
De jong asingeweza kutibu tatizo la man u,
Ila de jong akitua Chelsea utakua usajiri mzuri coz pale wanae mtu anaeitwa Ngolo kante
De jong akitua arsenal itakua fresh coz tunae partey
Swali la kujiuluza,
kwanini 10 hang alikua anamng'ang'ania dejong wataki shida kubwa ni kiungo mkabaji?
Hapo ndipo ninapoona tatizo la huyu kocha wetu bwana 10 hang
City kuna fernandinho, rodri
Chelsea yupo Ngolo
Spurs bisuma
Arsenal partey
Je, man u. Yupo nani?
Umeelewesha vzr Sana ,Ngolo kante sio DM, chelsea Dm wao ni Jorginho, kasome vizuri role ya regista utaelewa. Pirlo alikuwa DM miaka yote kuanzia Italy, AC milan hadi Juve si lazima DM awe destroyer kuna mifumo mingi.
Nashukuru mkuuUmeelewesha vzr Sana ,
Hata hapo man u sitashangaa Eriksen akacheza chin na sio casemiro ,
Madrid casemiro hausishwi kwenye bulidup coz sio mzuri kwa pass
Wanaohusishwa Ni Kross na modric ,yeye anakuwa juu yao kwa kaz chafuView attachment 2329245
Watu hawajui kuna mifumo ya kukabia juu sio chini.Nashukuru mkuu
Probably FDG anaweza vutiwa na ujio wa CasemiroUmeelewesha vzr Sana ,
Hata hapo man u sitashangaa Eriksen akacheza chin na sio casemiro ,
Madrid casemiro hausishwi kwenye bulidup coz sio mzuri kwa pass
Wanaohusishwa Ni Kross na modric ,yeye anakuwa juu yao kwa kaz chafuView attachment 2329245
Huyo mchezaji ni Ronaldo, kuna post ya Instagram ali-comment na kusema mambo yote vyombo vya habari wanayoandika kuhusu yeye ni uongo na baada ya wiki kadhaa ataweka ukweli wote hadharani katika interview na anadai ana notebook yake kabisa. Pia alisema kwa mwezi uliopita katika habari 100 walizoandika kuhusu yeye ni habari 5 tu ndiyo zina ukweli.Wakuu nimeona interview ya Gary Nevile na Ten Hag kwenye kipindi chake cha overlap alimuuliza swali kuna mchezaji anasema baada ya week 2 ataweka kila kitu wazi nini mtazamo wako?
Sasa mimi nataka kumjua huyo mchezaji ni nani? Hii performance ya team yetu sio bure mazee kuna kitu ndani yake.
Nashukuru sana mkuu. Kwa mtazamo wako ronaldo anaweza kuwa kirusi kwenye kikosi chetu au ni mtazamo wa mashabiki tu?Huyo mchezaji ni Ronaldo, kuna post ya Instagram ali-comment na kusema mambo yote vyombo vya habari wanayoandika kuhusu yeye ni uongo na baada ya wiki kadhaa ataweka ukweli wote hadharani katika interview na anadai ana notebook yake kabisa. Pia alisema kwa mwezi uliopita katika habari 100 walizoandika kuhusu yeye ni habari 5 tu ndiyo zina ukweli.
Huyo mchezaji ni Ronaldo, kuna post ya Instagram ali-comment na kusema mambo yote vyombo vya habari wanayoandika kuhusu yeye ni uongo na baada ya wiki kadhaa ataweka ukweli wote hadharani katika interview na anadai ana notebook yake kabisa. Pia alisema kwa mwezi uliopita katika habari 100 walizoandika kuhusu yeye ni habari 5 tu ndiyo zina ukweli.
Je, tunauza?Uvumilivu tu...we will not die
BADO
1: FDJ
2: GAPKO
3: ANTHONY
January ni RB na dirisha kubwa ni CB na CDM nyingne....eee Mungu tusaidie tunaumia